Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUZY AKATAA KUITWA BONGO MOVIE

Stori:  Imelda Mtema
MSANII anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kutokana na migogoro mbalimbali iliyokuwepo ndani ya Kundi la Bongo Movie, hata akipita njiani akiitwa kwa kutumia jina hilo hatogeuka. Msanii anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ akipozi. Suzy alisema kutokana na ‘majanga’ kuwa mengi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TIKO AKATAA KUITWA GOGO

Stori: laurent samata
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan. Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita...

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO:Tiko Akataa Kuitwa Gogo

Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.

Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wa GPL na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.

“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini...

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Florah Mvungi adai Bongo Movie hawapendani na AT asema Bongo Fleva imejaa majungu tupu

Muigizaji wa filamu za Bongo ambaye naye ameingia kwenye Bongo Fleva, Florah Mvungi a.k.a H.Mama na msanii wa muziki wa mduara AT ambao hivi karibuni wametoa wimbo wa pamoja ‘Mkazurule’ , walikuwa wageni kwenye kipindi cha Papaso kupitia TBC Fm. Miongoni mwa vitu ambavyo Florah ambaye pia ni mke wa H.Baba alivisema ni kuwa waigizaji […]

 

9 years ago

MillardAyo

Ninayo stori ya Msanii wa Bongo Fleva kunusurika kifo baada ya kuitwa mwizi….

Rapper kutoka kwenye zao la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2013, Edu Boy amenusurika kifo baada ya kuitwa mwizi maeneo ya Sinza wakati akitoka studio za Freenation kurekodi ngoma. Msanii huyo akiongea kwenye Clouds TV alisema…’Nilikuwa natoka studio kurekodi ngoma ilikuwa usiku nikakutana na vijana watano wakanisimamisha wakaniuliza kuna mtu umekutana naye nikajibu sijakutana na mtu […]

The post Ninayo stori ya Msanii wa Bongo Fleva kunusurika kifo baada ya kuitwa mwizi…. appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani