Ngoma ampagawisha pluijm
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amekunwa na bao alilofunga mshambuliaji, Donald Ngoma, wakati timu hiyo ilipolazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) juzi.
Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ilishuhudiwa Ngoma akifunga bao hilo dakika ya 45 kwa mpira wa kubetua aliopiga baada ya kupokea krosi safi ya juu kutoka kwa beki wa kulia, Juma Abdul na kutuliza vyema...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Pluijm amtabiria makubwa Ngoma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrMVMlG-oGRDNNmMJebs0h5UY5dPNyWG1VCFAPXXJTUxJmwq3uMH6JASkEVKO9pbNSYu-sBxJtIIo6moQXa0CFcS/FCVRTY.jpg)
TAUSI AMPAGAWISHA MWARABU
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Ali Kiba ampagawisha Jokate
NA CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Jokate Mwegelo, amemsifu msanii mwezake Ali Salehe ‘Ali Kiba’ kwa kutumbuiza muziki na ‘live Band’ kitu kinachoongeza mvuto kwenye maonyesho yake.
Akizungumza na MTANZANIA, Jokate alisema Ali Kiba ni mfano wa kuigwa kwa sababu muziki unakua na soko la kimataifa linahitaji wasanii wanaotumia ala za muziki wawapo jukwaani.
“Ali Kiba ni mfano wa kuigwa, wasanii tusipende kutumia CD kwenye majukwaa tunadumaza vipaji vyetu ni vyema...
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Kila mwamba ngoma akivutia kwake, mwisho ngoma hupasuka
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/bJubfyXMsOc/default.jpg)
ngoma azipendazo ankal - special request from Ras Makunja wa Ngoma Afrika band, Ujerumani
Simba Wanyika - Halleluja
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/kSuuiTgwegk/default.jpg)
NGOMA, NGOMA, NGOMA OYEEEE…
Hizi ni baadhi ya shughuli ambazo mwana Kitoto hufanya ughaibuni. Usiku na mchana. Ninazionea fahari…Miaka mingi wengi wameniuliza watakujaje Majuu. Njia nzuri na rahisi sana ni kufanya mambo ya kwetu. Ngoma ni kitu kinachopendwa na wageni maana ni uhalisia na asili ya Mwafrika.
Juu hapa wanaonekana wanamuziki wawili wa Kitanzania wanaoishi Uingereza. Saidi Kanda na Fab Moses. Fab Moses...
10 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !
![](http://4.bp.blogspot.com/-ORf9Gn6TFdU/VBIA8eWjFyI/AAAAAAAGjAQ/QMKp6Yj33Lc/s1600/download.jpg)
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...
10 years ago
Dewji Blog03 Nov
Sherehe za Miaka 50 ya uhai wa Bendi Msondo Ngoma zafana Jijini DarMsondo Ngoma zafana Jijini Dar
Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea Jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.
Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...