New Video: Darassa Ft O’sman — Sio Mbaya
Rapeer Darassa ameachia video yake wimbo wa ‘Sio Mbaya’ aliomshirikisha O’sman. Video hii ilifanyika mkoani Singida pamoja na Dar es Salaam.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Nov
Video: Darassa Ft Mr Blue — Heya Haye
Hii ni video mpya ya rapper Darassa amemshirikisha Mr Blue wimbo unaitwa “Heya Haye” video imeongozwa na Hanscana
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
GPL10 Nov
11 years ago
Michuzi05 May
10 years ago
Bongo505 Oct
Video: Shaa na Jackie wapoteza mbaya kwenye Coke Studio na ‘Subira’
9 years ago
Bongo518 Dec
Cyrill adai video na ngoma kali sio kila kitu kwa muziki wa sasa
Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, amesema muziki wa sasa sio tu kufanya video kali na ngoma kali ili uweze kutoboa, bali unahitaji kutumia ubunifu zaidi kukidhi viwango vyenye ubora na kufikia soko la kimataifa.
Rapper huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afica Radio kuwa watu wengi wanafikiri ukiwa na video nzuri ndio unafanikiwa.
“Unaweza ukawa na video kali halafu usihit, muziki ni zaidi ya chupa kali, ukirudishwa miaka fulani nyuma, ngoma kali ndio ilikuwa inahit, lakini sasa...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Cheki na hii, Christmas ya Peru sio sherehe, ni kupigana ngumi mwanzo mwisho… (+Video)
Kila watu wana utamaduni wao, kama utamaduni wako ni kusherehekea kwa kukaa na familia yako nyumbani, basi kwingine sio hivyo… na kama umezoea kukutana na sherehe za marafiki na ndugu, basi Peru kuna sherehe za maadui !! Countdown ya siku kuelekea Christmas inazidi kujivuta, zimebaki kama siku tatu tu hivi kuifikia December 25 2015, siku […]
The post Cheki na hii, Christmas ya Peru sio sherehe, ni kupigana ngumi mwanzo mwisho… (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo505 Feb
Christiana Bella: Kama sio Godfather, ntaenda na Adam Juma kushoot video South