New Video: Eric — Maisha Safari
Angalia Video Mpya kutoka kwa Eric ngoma inaitwa “Maisha Safari” video imeongozwa na Kwetu Studio
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo531 Dec
Video: Eric Omondi – Je Utanipea

Mchekeshaji maarufu Africa mashariki Eric Omondi kutoka Nchini Kenya ameachia Video yake alio ifanyia remix nyimbo ya Diamondplatnumz kaimba Eric kabadilisha kutoka “Je Utanipenda” na Kuwa “Je Utanipea? akimanisha kuwa Je demu wake atampa?
Ikumbukwe kuwa Erick alisha fanya remix nyimbo ya nasema nawe ya Diamond na kuwa “Nabeba Mawe”.
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Maisha safari ndefu
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Sekunde 30 za kuenjoy na Eric Omondi alivyojiimbia ‘Utanipenda’ ya Diamond.. (+Video)
Unajua kwenye namba ya wakali wa comedy wenye majina makubwa kutokea East Africa, jina la Eric Omond nalo limo !! Eric huwa anarudia kwa kuimba style na maneno yake mwenyewe, na bado anarudia na video kwa mtindo wa pekeyake… Utanipenda ndio jina la ‘hit’ ya Diamond iliyokamata mawimbi sasahivi… basi cheki na hii aliyoirudia Eric Omondi […]
The post Sekunde 30 za kuenjoy na Eric Omondi alivyojiimbia ‘Utanipenda’ ya Diamond.. (+Video) appeared first on...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Safari ya maisha ya Profesa Mwandosya
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi04 Oct
ISOME HAPA SAFARI NZIMA YA MAISHA YA MAREHEMU MCH.MTIKILA

MCHUNGAJI Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa nchini.
Mtikila alizaliwa mwaka 1950 mkoani Iringa, kusini mwa nchi yetu.(Kwa bahati mbaya, hadi nachapisha uchambuzi huu sikupata taarifa za elimu yake) kwani hakuwa mwepesi kutoa ushirikiano mwezi mmoja uliopita alisafiri kwenda nje ya nchi na kurejea wakati nikiwa katika hatua za mwisho za uhariri.
Pamoja na shughuli za siasa, Mchungaji...
5 years ago
BBCSwahili21 Mar
Wapenzi wasioona waliofunga pingu za maisha wasimulia safari yao ya mapenzi
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo529 Jan
Video: Damian Soul akiongelea safari yake kimuziki