Video: Damian Soul akiongelea safari yake kimuziki
Diamond Soul ni mmoja wa wasanii wa rnb na soul wanaofanya vizuri kwa sasa nchini. Tayari ameshatoa ngoma kadhaa kali zikiwemo Ni Penzi na Baraka ambazo zote amemshirikisha Joh Makini. Mfahamu zaidi kwa kutazama mahojiano tuliyofanya naye hivi karibuni.
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo512 Jul
New Video: Youmg Killer ft Damian Soul — My Power
Hii hapa Video Mpya kutoka kwa rapper anaye fanya vizuri kwasasa Young Killer amemshirikisha Damian Soul ngoma inaitwa “My Power” Video imeongozwa na Jackson Joachim
10 years ago
Michuzi
NIPENZI VIDEO LAUNCHING - DAMIAN SOUL & JOH MAKINI TODAY @ ESCAPE ONE

When: 07th November 2014
Where: ESCAPE ONETime: 10pm Till late tulivu ( Saa NNE usiku na kuendelea)Live band by DAMIAN SOUL together with his friends from all over the WORLD.Lots of surprise guests to be featured on.Don't afford to miss this LAUNCHING in the coming Friday...There also gonna be HIP HOP, JAZZ, SOUL & AFRO FUSSION...All LIVE with the BandY'ALL WELCOME
Damage 10K (10,000)
10 years ago
Bongo513 Mar
Video: Damian Soul na Myra walivyotuimbuiza kwenye Maisha Superstar wiki hii
Damian Soul ambaye yupo chini ya AY na Myra aliye chini ya Shaa wameendelea kuiwakilisha Tanzania kwenye shindano la Maisha Superstar linalooneshwa kila Jumatatu kupitia Maisha Magic. Jionee walivyotumbuiza wiki hii.
11 years ago
Michuzi27 Mar
10 years ago
Bongo529 Sep
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky ambapo Avril wa Kenya ameelezea safari yake kimuziki
Wiki kwenye Chill na Sky, Sky amepiga story na muimbaji wa Kenya, Avril. Wamepiga story kibao kuanzia jinsi alivyoanza kufanya kazi na Ogopa Djs, kukutanishwa na AY na jinsi alivyomtambulisha kwenye industry ya Afrika Mashariki, mambo yake binafsi na uhusiano wake. Utaenjoy sana. CHILL NA SKY INASIKIKA PIA KUPITIA: ABM Radio (Dodoma) – Jumanne Saa […]
11 years ago
GPL13 Jul
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Bongo510 Oct
Damian Soul aingia studio kufanya collabo na Nameless wa Kenya
Ambwene Yessaya ‘AY’ ambaye alikuwa ‘mentor’ wa Damian Soul kwenye shindano la Maisha Superstar lililofanyika mwaka huu, aliwahi kusema kuwa wasanii wengi wakubwa wa Afrika Mashariki wamekuwa wakiomba kufanya collabo na Damian, baada ya kuona uwezo wake mkubwa aliouonesha kwenye shindano hilo. Damian Soul ambaye ameenda Kenya kufanya media tour, pia ameingia studio kurekodi collabo […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania