Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEW VIDEO: OVER YOU - NAZIZI

VIDEO: OVER YOU ARTIST: NAZIZI DIRECTOR: CREAM VISION FILMS PRODUCER: SAPPY, LOVE CHILD RECORDS

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Nazizi aibukia kwenye Kickboxer

nazMKALI wa muziki wa reggae aliyewahi kuwa katika kundi la Necessary Noise la nchini Kenya, Nazizi Hirji, ameungana na msanii wa Tanzania, Zola D kwa ajili ya mafunzo ya mchezo unaotumia ngumi na mateke (Kickboxer).

Nazizi alisema amejiunga na mchezo huo ili aweke mwili wake sawa huku akidai ataendelea kuvumilia changamoto zikiwemo mazoezi magumu anayopata katika mafunzo ya mchezo huo.

“Baada ya kucheza mchezo huo uzito wangu umepungua, nazidisha kujituma katika mazoezi hayo kwa kuwa naamini...

 

9 years ago

Bongo5

Zola D na Nazizi kuja na ‘Workout TV Show’

Zola Dee

Rapper Zola D na rapper wa kike wa Kenya, Nazizi wanatarajia kuja na kipindi cha TV kiitwacho ‘Workout TV Show’ kitakachohusiana na ufanyaji mazoezi na kitaoneshwa kwenye runinga za nchini Kenya.

Zola Dee

Zola D amesema project hiyo haitomzuia kutoa burudani kwa mashabiki wake kupitia muziki .

“Kwenye muziki bado nipo poa na hivi tayari nina kazi kadhaa na video ambazo nitaachia hivi karibuni, sema nilikuwa busy na maandalizi ya TV Show yetu mimi na Nazizi wa Kenya,” ameiambia Bongo5.

“Lakini kwenye...

 

9 years ago

Mtanzania

Nazizi aibukia kwenye Kick boxer

Nazizi na Zora DNAIROBI, Kenya

MKALI wa muziki wa reggae aliyewahi kuwa katika kundi la Necessary Noise la nchini Kenya, Nazizi Hirji, ameungana na msanii wa Tanzania, Zola D kwa ajili ya mafunzo ya mchezo unaotumia ngumi na mateke (Kick boxer).

Nazizi alisema amejiunga na mchezo huo ili aweke mwili wake sawa, huku akidai ataendelea kuvumilia changamoto, zikiwemo mazoezi magumu anayopata katika mafunzo ya mchezo huo.

“Baada ya kucheza mchezo huo uzito wangu umepungua, nazidisha kujituma katika mazoezi hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani