Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEW YORK YAMJADILI TENA TEMBO, CHELSEA CLINTON AONGOZA MAJADILIANO, TANZANIA YASHIRIKI

Moja ya picha mbalimbli za Tembo zilipamba ukumbi yalipofanyika majadiliano kuhusu tembo, picha hizo na ambazo zilikuwa kivutio kwa washiriki wa majadiliano hayo ziliandaliwa na National Geograpy. Mkurugenzi Mtendaji wa ABC HOME Paulette Cole akiwakaribisha wanajopo na wageni waalikwa katika majadiliano kuhusu tembo, majadiliano hayo yalifanyika siku ya jumanne usiku Jijini New York. Chelsea Clinton, Makamu Mwenyekiti wa Clinton Foundation, na ambaye aliongoza majadiliano hayo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Bodi ya Chelsea yamjadili Mourinho

Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amekutana na bodi ya klabu hiyo kujadili hatima ya meneja wa klabu hiyo Jose Mourinho.

 

11 years ago

Habarileo

Majadiliano kuuza meno ya tembo yanaendelea

SERIKALI inaendelea na jitihada za kuzungumza na vyombo vya kimataifa, kutafuta kukubaliwa kuuza meno ya tembo yaliyokamatwa tangu mwaka 1961. Lengo la mauzo hayo, ni kupata fedha za kuwekeza katika sekta hiyo kuimarisha ulinzi na kupambana na ujangili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bi Clinton ahutubia umma New York

Bi Hillary Clinton amefanya mkutano wake wa kwanza wa hadhara tangu atangaze nia ya kuwania kiti cha Urais.

 

9 years ago

DesMoinesRegister.Com

Chelsea Clinton: Women key to alleviating hunger


DesMoinesRegister.com
Chelsea Clinton: Women key to alleviating hunger
DesMoinesRegister.com
To understand the power of women to transform lives, consider Wazia Chawala, a single mother who struggled to feed her seven children in Tanzania, said Chelsea Clinton, vice president of the Clinton Foundation. With improved seeds and farming ...

 

10 years ago

Day Tour Of ...

New mother Chelsea Clinton visits hospital in Kenya during nine


Daily Mail
New mother Chelsea Clinton visits hospital in Kenya during nine-day tour of ...
Daily Mail
Chelsea Clinton has taken a hands-on approach during her visit to Africa with her father Bill on behalf of the Clinton Foundation. Ms Clinton, who gave birth to daughter Charlotte in September last year, lit up holding a baby girl during a visit to Mbagathi District ...
Bill Clinton's p.r. nightmare led him to faulty planeNew York Post
Bill Clinton, Daughter in Kenya for Three-Day TourThe Star
Jay...

 

9 years ago

Vijimambo

Curious on Tanzania Launches Tanzania Culture Fest in New York City On September 5, 2015 experience Tanzania in New York City with a cultural evening of food and live entertainment that will inspire and fulfill your curiosities about Tanzania.


Curious on Tanzania Launches Tanzania Culture Fest in New York City On September 5, 2015 experience Tanzania in New York City with a cultural evening of food and live entertainment that will inspire and fulfill your curiosities about Tanzania. 

The idea behind the Fest is to celebrate Tanzanian culture with Tanzanians, taste makers, previous/ future travelers and others who are curious to know more or experience our culture and more. Some of the highlight of the event will be Tanzanian...

 

10 years ago

Daily Mail

Bill and Chelsea Clinton begin Africa tour with entourage of donors


Daily Mail
Bill and Chelsea Clinton begin Africa tour with entourage of donors
Daily Mail
Former U.S. President Bill Clinton and his daughter Chelsea started a tour of Africa on Wednesday in Tanzania, along with an entourage of 20 donors to their family foundation and to Hillary Clinton's past and present political campaigns. Hobnobbing with ...
Bill Clinton begins Africa tour in TanzaniaKansas City Star

all 66

 

10 years ago

Daily Mail

Bill and Chelsea Clinton's plane on Africa tour makes 'unscheduled' landing


Daily Mail
Bill and Chelsea Clinton's plane on Africa tour makes 'unscheduled' landing
Daily Mail
A chartered plane carrying former President Bill Clinton and his daughter made an unplanned landing Wednesday at a rural outpost in Tanzania after one of the aircraft's engines lost power. Tanzania was the first stop on Clinton's nine-day tour of Africa, which ...
Bill Clinton's Plane Lands for Engine Repair in Tanzanian CapitalNBCNews.com
Bill Clinton's plane diverted by engine trouble in...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani