Ney wa Mitego atoka na Dayna Nyange aamua ‘kujituliza’
Ney wa Mitego akiwa na msanii wa kike, Dayna Nyange katika mikao ya kimahaba.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Ni habari nyingi kwa sasa kwa msanii nyota wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambaye anatamba na nyimbo mbali mbali hapa Nchini kwa sasa ameamua kuziba masikio na kutoka na msanii wa kike, Dayna Nyange.
Ney wa Mitego na Dayna Nyange katika picha za Mahaba
Ney ambaye hivi karibuni bado yupo katika hali yaa sinto fahamu juu ya mzazi mwenzie anayedaiwa kuzaa naye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Dayna Nyange aachia wimbo mpya leo wa ‘Nitulize’ aliomshirikisha Ney wa Mitego
Msanii wa kike anayetamba na vibao mbalimbali vya muziki hapa Bongo ‘East African Queen’, Dayna Nyange leo Aprili 8, anaachia wimbo mpya wa ‘Nitulize’ ambao ameimba na staa wa Hip Hop nchini, Ney wa Mitego.
Awali wasanii hao Dayna Nyange na Ney walianza kama utani kwa kutupia picha mbali mbali wakiwa katika hali ya mahaba, lakini mwisho wa siku ilikuwa ni ‘promo’ ya wimbo wao huo ambao unaanza kuruka leo katika vituo mbalimbali vya radio.
Msanii Dayna Nyange ‘East African Queen’ katika...
11 years ago
GPL02 Aug
9 years ago
Bongo502 Nov
Music: Samata A Ft. Dayna Nyange — Unanisololo
![Samata A ft Dayna Nyange - UnaNisoLolo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Samata-A-ft-Dayna-Nyange-UnaNisoLolo-94x94.jpg)
10 years ago
Vijimambo08 Apr
10 years ago
Bongo512 Feb
Dayna Nyange: Sikupanga kuitoa ‘Pepea’
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Ney Lee: Najivunia Ney wa Mitego
MWANADADA anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini Neema Agrey ‘Ney Lee’ anatarajia kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Usinikatae’. Akizungumza Dar es Salaam jana...
10 years ago
Bongo519 Jan
Picha: Unamfahamu Rahma, mtoto wa Dayna Nyange?
10 years ago
GPL08 Apr