Picha: Unamfahamu Rahma, mtoto wa Dayna Nyange?
Hakuna shaka wengi hawafahamu kuwa Dayna ni mama wa mtoto mmoja wa kike na tena ni binti mkubwa. Dayna akiwa na binti yake Rahma Binti huyo anaitwa Rahma. Dayna alishare picha akiwa na mtoto huyo kwenye Instagram na kuandika, “Wanasema Raha ya Dunia ni Watoto Ahsante Mungu.”
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL02 Aug
10 years ago
Vijimambo08 Apr
9 years ago
Bongo502 Nov
Music: Samata A Ft. Dayna Nyange — Unanisololo
![Samata A ft Dayna Nyange - UnaNisoLolo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Samata-A-ft-Dayna-Nyange-UnaNisoLolo-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo512 Feb
Dayna Nyange: Sikupanga kuitoa ‘Pepea’
10 years ago
Dewji Blog07 Apr
Ney wa Mitego atoka na Dayna Nyange aamua ‘kujituliza’
Ney wa Mitego akiwa na msanii wa kike, Dayna Nyange katika mikao ya kimahaba.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Ni habari nyingi kwa sasa kwa msanii nyota wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambaye anatamba na nyimbo mbali mbali hapa Nchini kwa sasa ameamua kuziba masikio na kutoka na msanii wa kike, Dayna Nyange.
Ney wa Mitego na Dayna Nyange katika picha za Mahaba
Ney ambaye hivi karibuni bado yupo katika hali yaa sinto fahamu juu ya mzazi mwenzie anayedaiwa kuzaa naye...
10 years ago
GPL08 Apr
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Dayna Nyange aachia wimbo mpya leo wa ‘Nitulize’ aliomshirikisha Ney wa Mitego
Msanii wa kike anayetamba na vibao mbalimbali vya muziki hapa Bongo ‘East African Queen’, Dayna Nyange leo Aprili 8, anaachia wimbo mpya wa ‘Nitulize’ ambao ameimba na staa wa Hip Hop nchini, Ney wa Mitego.
Awali wasanii hao Dayna Nyange na Ney walianza kama utani kwa kutupia picha mbali mbali wakiwa katika hali ya mahaba, lakini mwisho wa siku ilikuwa ni ‘promo’ ya wimbo wao huo ambao unaanza kuruka leo katika vituo mbalimbali vya radio.
Msanii Dayna Nyange ‘East African Queen’ katika...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oHRSmgFQF9s/UvewQnzaOeI/AAAAAAABCBc/GxYlDKEwPkQ/s72-c/3BUKOBA...jpg)
USIKU WA DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG NDANI YA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA FEB 15,2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-oHRSmgFQF9s/UvewQnzaOeI/AAAAAAABCBc/GxYlDKEwPkQ/s1800/3BUKOBA...jpg)
Usiku huo hatuangalii Vivazi au nani anamiliki nini,ama yupi ni hot zaidi ya mwenzake,tunaangalia kitu kimoja tu,Nani mkali wa kuimba na kucheza Jukwaani?