Dayna Nyange: Sikupanga kuitoa ‘Pepea’
Dayna Nyange amedai kuwa wimbo wake uliotoka hivi karibuni ‘Pepea’ umevuja na kwamba hakuwa amepanga kuutoa. “Yaani nimepokea simu nyingi sana kuhusu huu wimbo mpya unaitwa Pepea nikabaki nashangaa tu maana huo wimbo nilifanya siku nyingi hata kabla sijatoa wimbo wa I Do,” ameiambia Bongo5. “Naomba niwaambie tu mashabiki wangu kuwa huo wimbo sijautoa rasmi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL02 Aug
10 years ago
Vijimambo08 Apr
9 years ago
Bongo502 Nov
Music: Samata A Ft. Dayna Nyange — Unanisololo
![Samata A ft Dayna Nyange - UnaNisoLolo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Samata-A-ft-Dayna-Nyange-UnaNisoLolo-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo519 Jan
Picha: Unamfahamu Rahma, mtoto wa Dayna Nyange?
10 years ago
GPL08 Apr
10 years ago
Dewji Blog07 Apr
Ney wa Mitego atoka na Dayna Nyange aamua ‘kujituliza’
Ney wa Mitego akiwa na msanii wa kike, Dayna Nyange katika mikao ya kimahaba.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Ni habari nyingi kwa sasa kwa msanii nyota wa Hip hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambaye anatamba na nyimbo mbali mbali hapa Nchini kwa sasa ameamua kuziba masikio na kutoka na msanii wa kike, Dayna Nyange.
Ney wa Mitego na Dayna Nyange katika picha za Mahaba
Ney ambaye hivi karibuni bado yupo katika hali yaa sinto fahamu juu ya mzazi mwenzie anayedaiwa kuzaa naye...
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Dayna Nyange aachia wimbo mpya leo wa ‘Nitulize’ aliomshirikisha Ney wa Mitego
Msanii wa kike anayetamba na vibao mbalimbali vya muziki hapa Bongo ‘East African Queen’, Dayna Nyange leo Aprili 8, anaachia wimbo mpya wa ‘Nitulize’ ambao ameimba na staa wa Hip Hop nchini, Ney wa Mitego.
Awali wasanii hao Dayna Nyange na Ney walianza kama utani kwa kutupia picha mbali mbali wakiwa katika hali ya mahaba, lakini mwisho wa siku ilikuwa ni ‘promo’ ya wimbo wao huo ambao unaanza kuruka leo katika vituo mbalimbali vya radio.
Msanii Dayna Nyange ‘East African Queen’ katika...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oHRSmgFQF9s/UvewQnzaOeI/AAAAAAABCBc/GxYlDKEwPkQ/s72-c/3BUKOBA...jpg)
USIKU WA DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG NDANI YA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA FEB 15,2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-oHRSmgFQF9s/UvewQnzaOeI/AAAAAAABCBc/GxYlDKEwPkQ/s1800/3BUKOBA...jpg)
Usiku huo hatuangalii Vivazi au nani anamiliki nini,ama yupi ni hot zaidi ya mwenzake,tunaangalia kitu kimoja tu,Nani mkali wa kuimba na kucheza Jukwaani?