Ngoma: Nitaendelea kuwapa raha Yanga
MSHAMBULIAJI mahiri wa Yanga, Donald Ngoma amesema ataendelea kuwapa raha mashabiki wa timu hiyo katika kila mchezo kwani ameshaizoea Ligi Kuu Tanzania Bara. Kutokana na hali hiyo, Ngoma amesema ndoto yake ya kuhakikisha Yanga inatetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu itatimia kwani wachezaji wenzake wa Yanga wameelewa uchezaji wake na namna ya kumtengenezea nafasi za kufunga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_0031.jpg)
SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUWAPA RAHA MASHABIKI WAKE, NI IJUMAA HII THAI VILLAGE
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Skylight Band ni moto wa kuotea mbali, wazidi kuwapa raha mashabiki wao kwa burudani nzuri
Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba.
Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani Ijumaa huwa inakuwa ni siku ya furaha na kubadilishana mawazo, kupunguza stress za kazini…..paleee Thai Village Masaki.Kwenye Jukwaa Bendi yako matata na inayotikisa Tanzania na Jiji la Dar Skylight Band wanakuwa wanakupa burudani ya nguvu na iliyoenda shule.Karibu leo kuanzia saa 3 kamili...
10 years ago
GPLSKYLIGHT BAND NI MOTO WA KUOTEA MBALI, WAZIDI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAO KWA BURUDANI NZURI
11 years ago
Dewji Blog23 May
Skylight Band wazidi kuwapa raha zisizo na kifani mashabiki wake Jijini Dar, usikose leo ndani ya Thai Village
Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village.
Anaitwa Hashim Donode (mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao.
Toka kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode...
9 years ago
Habarileo18 Sep
Yanga yampa raha kocha
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amekisifu kikosi chake kwa kucheza vizuri na kupata ushindi wa nguvu wa mabao 3-0 katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Mtanzania09 Feb
Ngassa aipa raha Yanga
JENIFFER ULLEMBO NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga jana ilifanikiwa kurejea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-0 mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga imewashusha waliokuwa vinara Azam wenye pointi 22 baada ya kufikisha jumla ya pointi 25, lakini wanalambalamba hao wana mchezo mmoja mkononi.Winga wa Yanga, Mrisho Ngassa ndiye aliyeibuka shujaa kwa timu yake baada ya kuifungia mabao hayo yote, akiwa...
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Tambwe awapa raha Yanga
9 years ago
Habarileo20 Dec
Yanga raha zao, Simba yabanwa
YANGA jana iliendelea kujiweka vizuri katika harakati zake za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu baada ya kuichapa Stand United mabao 4-0 katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Wachezaji Yanga SC wampa raha Maximo
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema timu yake imezidi kumpa raha kutokana na kiwango cha wachezaji kuzidi kuimarika kila siku kutokana na utayari wa wachezaji wa...