NGUMI KUPIGWA CHANIKA SEPTEMBA 26
Na Mwandishi Wetu BONDIA Said Mbelwa anatarajia kupanda uringoni kwa mara nyingine tena kugombania mkanda wa taifa wa chama cha ngumi za kulipwa PST dhidi ya bondia George Dimoso mpambano .Mpambano utakaofanyika Septemba 26 katika ukumbi wa Butihama Villa Club uliopo chanika mpambano huo wa raundi kumi ulioratibiwa na
Kocha wa kimataifa nchini Rajabu Mhamila 'Super D' utakuwa ni wa kumaliza ubishi baada ya mpambano wa kwanza Dimoso kudundwa kwa point
Super D aliongeza kuwa siku iyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNGUMI KUPIGWA MEI 16 BAGAMOYO MJINI
MABONDIA Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo na Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam watapima uzito siku ya ijumaa katika stendi kuu ya mabasi Bagamoyo na kupigana siku ya jumamosi ya mei 16 katika ukumbi wa che kwa che uliopo Bagamoyo mjini, ambapo mabondia hao watamalizia ubishi wao wa nani zaidi kati ya Bagamoyo na Chanika.
Mpambano huo utakaosimamiwa na Chama cha Ngumi za Kulipwa P.S.T utakuwa wa raundi sita na kwa uzito wa kg 61, ambapo kutakuwa na mapambano mengine ya...
10 years ago
Vijimambo24 Feb
NGUMI KUPIGWA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA
'
BONDIA Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' ametamba kumsambalatisha Fadhili MajihaStoper' katika raundi za awali za mpambano wao utakaofanyika siku ya jumamosi ya feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano huo wa raundi nane unasubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki mbalimbali wa mchezo wa masumbwi nchini ususani vitongoji vya Kinondoni, Manzese, mabibo na Mwananyamala ambapo ndio maeneo yao yenye wapenzi wao wa ngumi na sehermu mbalimbali
akizungumza na mwandishi wa habari hizi Miyeyusho...
10 years ago
Vijimambo06 Nov
NGUMI KUPIGWA JUMAPILI MANZESE UKUMBA WA MANYARA
BONDIA Samsoni Maisha wa kyela amewasili jijini Dar es salaam kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa TPBO na Ibrahimu Tamba mpambano utakaofanyika novemba 9 mwaka huu katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaa
10 years ago
Michuzi25 Feb
NGUMI KUPIGWA UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI
BONDIA Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe'
ametamba kumsambalatisha Fadhili Majiha 'Stopper' katika raundi za awali za mpambano wao utakaofanyika siku ya jumamosi ya feb 28 katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano huo wa raundi nane unasubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki mbalimbali wa mchezo wa masumbwi nchini ususani vitongoji vya Kinondoni, Manzese, mabibo na Mwananyamala ambapo ndio maeneo yao yenye wapenzi wao wa ngumi na sehermu mbalimbali
akizungumza na mwandishi wa habari hizi Miyeyusho...
10 years ago
Vijimambo25 Oct
NGUMI KUPIGWA KESHO OKTOBER 25 FRENDS CORNER MANZESE
10 years ago
Vijimambo01 Oct
MPAMBANO WA NGUMI KUPIGWA SIKU YA NYERERE DAY TANDIKA
BONDIA Imani Daudi anatarajia kupigana na Patrick Amote kutoka kenya kwenye mpambano wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika katika ukumbi wa musoma bar Tandika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa Nyerere Day tarehe 14 mwezi huu mpambano huo unaoratibiwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO chini ya Rais wake Yassin Abdallah 'Osthadhi'
lina marengo ya kumkumbuka baba wa taifa katika siku hiyo ya kipekee kabisa kwa nchi yetu ya Tanzania
akizungumza na...
10 years ago
Michuzi21 Dec
NGUMI KUPIGWA JANUARY 2, 2015 IFAKARA KATIKA UKUMBI WA MAKUTANO
MPAMBANO wa ngumi wa kufungua mwaka unatarajiwa kupigwa Ifakara mkoa wa Morogoro kuhamasisha na kukuza mchezo wa masumbwi nchini. promota wa mpambano huo Hiari Bohari amesema kuwa kwa sasa anataka aendeleze mchezo wa masumbwi Ifakara kwa kuwa watu wapo na mchezo unapendwa.
Alisema siku hiyo ya January 2. 2015 itakuwa ni siku ya kufungua mwaka kwa mpambano wa masumbwi kati ya Abdallah Kilima na Abdul Amwenye huku Saleh Makuka akipambanma na Said Chamaki
Aliongezea pia...