Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngwasuma yakana kusambaratika

BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ imekanusha kwamba imesambaratika kutokana na kile kilichodaiwa kuwa baadhi ya wanamuziki waliopunguzwa katika bendi hiyo kuanzisha nyingine waliyoipa jina la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge Maalumu la Katiba kusambaratika?

RAIS wangu wahenga walisema, “Kinachowezekana leo kisingoje kesho”. Inaaminika kuwa akili zetu za leo hazijawahi kuwa kubwa kufikia ukubwa wa akili walizokuwanazo wahenga wetu. Ndiyo maana mpaka leo tunafikiri huku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kurudi mawaziri mizigo, ishara ya kusambaratika chama tawala?

“NCHI changa ni sawa na nyumba mpya.” Hii ni kauli ya hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa wakati anazungumza na wanahabari Machi 13, 1995. Kauli hii ni sawa na kusema kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngwasuma kuzindua albamu ya kumi

BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ inatarajiwa kuzindua albamu yake ya 10 itakayobeba jina la ‘Chuki ya Nini’ kwenye Ukumbi wa Mzalendo Pub jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee wa Ngwasuma kuvamia Moro, Dom

BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ wanatarajiwa kufanya ziara katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Mwanza kwa ajili ya kutambulisha albamu yao mpya ya ‘Chuki...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA CDS: NGWASUMA, MSONDO, MALAIKA ZAFUNIKA

Shabani Dede (kulia) na Juma Katundu wa Msondo Ngoma, wakiimba kwa pamoja. Wanamuziki wa FM Academia wakiserebuka.…

 

11 years ago

Michuzi

WAZEE WA NGWASUMA WALIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA MWISHONI MWA WIKI

DSCF2780Wazee wa ngwasuma wakiburudisha mashabiki  ndani ya triple A night club-Arusha siku ya wapendanao Kwa udhamini mnono wa kampuni ya Megatrade  Investment kupitia kinywaji chake cha K-vant Gin DSCF2770Wapili kushoto ni Meneja mauzo na masoko Goodluck Kway wa kampuni ya Megatrade  Investment akiwa katika meza ya pamoja na wadau siku ya valentine’s day. DSCF2783Mashabiki wakifanya yao wakati wazee wa ngwasuma wakitoa burudani DSCF2778Jailos Joseph wa Megatrade akiyarudi ndani ya stage…kushoto ni mdau wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAMIZ GRAND RESORT INAKULETEA MIAKA 18 YA FM ACADEMIA WAZEE WA NGWASUMA NA NGOMA ZAO MPYA

Tarehe 22 Oktoba, 2015 Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege alipata fursa ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika katika Ikulu ya Kamuzu Palace mjini Lilongwe.Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akipigiwa nyimbo za taifa za Malawi na Tanzania huku akishuhudiwa na maafisa Ubalozi.

Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake.Mkuu wa Itifaki Bw. Harvey Chigumula akimtambulisha Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani