Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC yawakumbuka vijana Muheza

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limekabidhi mashine nne za kufyatulia matofali kwa vijana 40 wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ili kusaidia wajasiliamali wadogo kupitia vikundi. Akikabidhi mashine hizo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

NHC kunufaisha vijana 240 Tabora

VIJANA 240 mkoani Tabora watanufaika na sera ya shirika la nyumba la Taifa kwa kupewa mafunzo , mtaji na hatimaye kujiajiri wenyewe kupitia vikundi vya uzalishaji mali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

NHC: Vijana Kinondoni waungwe mkono

SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC), limetaka wakazi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake kununua matofali yanayofungamana yatakayokuwa yakitengenezwa na vijana wa manispaa hiyo. Wito huo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHC yaleta ajira kwa vijana kupitia matofali

MALALAMIKO ya ukosefu wa ajira yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku huku lawama hizo zikielekezwa serikalini. Hata hivyo serikali kupitia baadhi ya taasisi zake imekuwa ikitafuta kila mbinu kutatua tatizo hilo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lawakomboa vijana Mkoani Pwani

7

Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Pwani Pauline Mrango akisoma Hotuba ya makabidhiano ya mashine 28 za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana katika halmashauri zote za mkoa wa Pwani.

Shirika la Nyumba la Taifa limetoa mashine hizo zenye gharama ya zaidi ya shilingi milioni 12 pamoja na mafunzo kwa vijana ya wiki mbili ambapo baada ya kumaliza mafunzo Shirika litatoa msaada wa shilingi laki tano kwa kila kikundi kama mtaji , yMakabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita...

 

10 years ago

Michuzi

UHAKIKI WA KAZI ZA VIJANA WALIYOPEWA MASHINE NA NHC WAFANYIKA MIKOANI

New Picture (10)Kikundi cha vijana 40 kiitwacho Wajenzi Isoso Wilayani Kishapu kikiendelea na ufyatuaji matofali ya kufungamana wakati kilipotembelewa na Meneja wa NHC wa Huduma kwa Jamii, Bw. Muungano Saguya kwa nia ya kuhakiki kazi wanazofanya. Halmashauri ya Wilaya hiyo imewapa vijana maeneo ya kufanyia kazi na mtaji wa kufanyia kazi zao. New Picture (11)Kiongozi wa kikundi cha vijana 40 cha Wajenzi Isoso, Wilayani Kishapu akisoma risala kwa Meneja wa NHC wa Huduma kwa Jamii, Bw. Muungano Saguya (wa pili kushoto...

 

11 years ago

Dewji Blog

Shirika la nyumba NHC laendelea kuongeza ajira kwa vijana

1

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi Rachel Kasanda akikabidhi mashine za kufyatulia matofali kwa Hassan Soud Katibu wa kikundi cha Changamoto kwa niaba ya vikundi vingine vya wilaya ya Ilala ambazo zimetolewa na shirika la Nyumba nchini NHC jana wakati wa mpokezi ya Mwenge wa Uhuru Ilala Boma mara baada ya Meneja wa Shirika hilo wilaya ya Ilala Bw. Jackson Maagi kumkabidhi kiongozi huyo wa mbio za mwenge ikiwa ni juhudi za shirika hilo kusaidia kupunguza uhaba wa ajira kwa vijana ili...

 

11 years ago

GPL

SHIRIKA LA NYUMBA NHC LAENDELEA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA‏

Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi Rachel Kasanda akikabidhi mashine za kufyatulia matofali kwa Hassan Soud Katibu wa kikundi cha Changamoto kwa niaba ya vikundi vingine vya wilaya ya Ilala ambazo zimetolewa na shirika la Nyumba nchini NHC jana wakati wa mpokezi ya Mwenge wa Uhuru Ilala Boma mara baada ya Meneja wa Shirika hilo wilaya ya Ilala Bw. Jackson Maagi kumkabidhi kiongozi huyo wa mbio za mwenge ikiwa ni juhudi za...

 

10 years ago

Michuzi

NHC LAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MKOA WA LINDI NA MTWARA

Uhakiki wa vikundi vya vijana vilivyopewa msaada wa mashine na NHC ili kujiajiri na kusaidia wananchi kupata matofali ya kujengea nyumba bora umeanza katika Mikoa mbalimbali ukianzia na Mkoa wa Lindi na Mtwara. Katika hali isiyotarajiwa Mkoa wa Mtwara ambao kwa muda mrefu umekuwa ukililia kuletewa maendeleo umeshindwa kutumia fursa ya msaada wa mashine kwa vijana waliyopewa na NHC hali iliyolifanya Shirika kutwaa baadhi ya mashine ili zipewe vikundi vingine vinavyofanya vizuri Fuatilia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani