NHC kunufaisha vijana 240 Tabora
VIJANA 240 mkoani Tabora watanufaika na sera ya shirika la nyumba la Taifa kwa kupewa mafunzo , mtaji na hatimaye kujiajiri wenyewe kupitia vikundi vya uzalishaji mali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-b6u0NILjD6w/VDeSrcJw1lI/AAAAAAAGo8I/pkh_B4RpulE/s72-c/MD1.jpg)
Wadau wa Vijana washiriki mdahala katika Wiki ya Vijana mkoani Tabora
![](http://4.bp.blogspot.com/-b6u0NILjD6w/VDeSrcJw1lI/AAAAAAAGo8I/pkh_B4RpulE/s1600/MD1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5vnfj5OknuI/VDeSroczSnI/AAAAAAAGo8U/yiAZbNY1lg8/s1600/MD2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Ziara ya Mkurugenzi mkuu wa NHC katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga upya jengo jingine katika kiwanja hicho kilichoko katikati ya mji huo.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma,...
10 years ago
Michuzi23 Mar
MKURUGENZI MKUU WA NHC AFANYA ZIARA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/113.png)
10 years ago
Vijimambo23 Mar
Mkurugenzi mkuu wa nhc afanya ziara katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/113.png)
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Sumbawanga,Katavi...
10 years ago
Tanzania Daima01 Sep
NHC yawakumbuka vijana Muheza
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limekabidhi mashine nne za kufyatulia matofali kwa vijana 40 wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ili kusaidia wajasiliamali wadogo kupitia vikundi. Akikabidhi mashine hizo...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
NHC: Vijana Kinondoni waungwe mkono
SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC), limetaka wakazi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake kununua matofali yanayofungamana yatakayokuwa yakitengenezwa na vijana wa manispaa hiyo. Wito huo...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
NHC yaleta ajira kwa vijana kupitia matofali
MALALAMIKO ya ukosefu wa ajira yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku huku lawama hizo zikielekezwa serikalini. Hata hivyo serikali kupitia baadhi ya taasisi zake imekuwa ikitafuta kila mbinu kutatua tatizo hilo...
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Shirika la nyumba NHC laendelea kuongeza ajira kwa vijana
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi Rachel Kasanda akikabidhi mashine za kufyatulia matofali kwa Hassan Soud Katibu wa kikundi cha Changamoto kwa niaba ya vikundi vingine vya wilaya ya Ilala ambazo zimetolewa na shirika la Nyumba nchini NHC jana wakati wa mpokezi ya Mwenge wa Uhuru Ilala Boma mara baada ya Meneja wa Shirika hilo wilaya ya Ilala Bw. Jackson Maagi kumkabidhi kiongozi huyo wa mbio za mwenge ikiwa ni juhudi za shirika hilo kusaidia kupunguza uhaba wa ajira kwa vijana ili...
10 years ago
Dewji Blog23 Sep
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lawakomboa vijana Mkoani Pwani
Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Pwani Pauline Mrango akisoma Hotuba ya makabidhiano ya mashine 28 za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana katika halmashauri zote za mkoa wa Pwani.
Shirika la Nyumba la Taifa limetoa mashine hizo zenye gharama ya zaidi ya shilingi milioni 12 pamoja na mafunzo kwa vijana ya wiki mbili ambapo baada ya kumaliza mafunzo Shirika litatoa msaada wa shilingi laki tano kwa kila kikundi kama mtaji , yMakabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita...