NHCR yakwamua maisha ya malaki ya wakimbizi Burundi
Mama Furaha akipika katika nyumba ya rafiki yyake Cady ambaye aliwakaribisha nyumbani mwake.© UNHCR/A.NijimbereMaisha baada ya kuishi ukimbizini huhitaji msaada mkubwa katika nyanja zote za uchumi, kijamii na hata kisaikolojia! Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Kenya limejikita kusaidia wakimbizi katika kustawisha maisha yao ambapo huanza kwa makazi.Akizungumza wakati wa mahojiano na Joseph Msami wa idhaa hii mwakilishi mkazi wa UNCHCR nchini Burundi Abel...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Oct
UNHCR yakwamua maisha ya malaki ya wakimbizi Burundi
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/7ge4GPNpCCit0EgBBHH1d3x3n0gMsHX9Cj4icxipomyWjI2ndWkrESZ2HfrrT2-E5JklJh9SPljLdGy1ZfL044viRV-JlW_YUZlU3CLMq6-8Xa0LI2CNUMYs-qdkXI_yoJABairyJFjubCYcFG8=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2014/10/unhcr-burundi.jpg)
Maisha baada ya kuishi ukimbizini huhitaji msaada mkubwa katika nyanja zote za uchumi, kijamii na hata kisaikolojia! Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Kenya limejikita kusaidia wakimbizi katika kustawisha maisha yao ambapo huanza kwa makazi.
Akizungumza wakati wa mahojiano na Joseph Msami wa idhaa hii mwakilishi mkazi wa UNCHCR nchini Burundi Abel...
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Idadi ya Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu yaongezeka
Wakimbizi kutoka nchini Burundi walioko katika kambi ya Nyarugusu wakiwa wamebeba shehena ya unga wa mahindi jana, muda mfupi baada ya kugawiwa chakula hicho Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (WFP), lililoweka kituo chake katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, mkoani Kigoma.(PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
Mkimbizi kutoka nchini Burundi, Jacqueline Elulu (mwenye mtoto), akisubiri kupata huduma ya...
9 years ago
MichuziWAKIMBIZI WA BURUNDI WAONGEZEKA MAKAMBI YA WAKIMBIZI MKOANI KIGOMA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIIdadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta...
9 years ago
MichuziZOEZI LA KUWAPOKEA WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI LAENDELEA VIZURI KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Burundi;Watoto Wakimbizi wanadhulumiwa
10 years ago
Mwananchi04 May
Wakimbizi wa Burundi wapelekwa Nyarugusi
10 years ago
Mwananchi21 May
Wakimbizi 40 wa Burundi wafariki dunia
10 years ago
BBCSwahili18 May
Wakimbizi saba wa Burundi wafa Kigoma
10 years ago
Habarileo16 Oct
Wakimbizi 162 wa Burundi wapewa uraia
RAIS Jakaya Kikwete ametoa hati za uraia wa Tanzania kwa wakimbizi 162 kutoka nchi jirani ya Burundi na ambao wameishi nchini kwa miaka 42, tangu mwaka 1972. Alitoa hati hizo juzi mjini Tabora, ikiwa nisehemu ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo.