Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF yazindua kituo

428Na Asifiwe George, Dar es Salaam

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umezindua kituo cha huduma kwa ajili ya kupokea malalamiko kutoka kwa wanachama wao kwa kutumia mfumo wa kielektroniki.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Mkurugenzi wa NHIF, Michael Mhando alisema lengo la kuanzisha kituo hicho ni kupunguza kero kwa wanachama wao.

Alisema huduma hiyo itapatikana bure kwa kupiga namba  0800110063 na  kuuliza maswali au msaada  wa haraka kuhusu kadi ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NHIF YAZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA SIMU ZA MKONONI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano na Huduma Kwa Wateja (Call center) ambacho kitahusika na kupokea na kujibu hoja za wadau mbalimbali zitakazowasilishwa katika Mfuko kupitia Namba ya simu 0800 110063, barua pepe info@nhif.or.tz na mawasiliano kwa njia ya mtandao (Mitandao ya kijamii na simu za mkononi), uliofanyika leo kwenye makao makuu ya Mfuko huo, jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF yakabidhiwa Kituo chake mkoani Dodoma

Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Michael Mhando akikagua Kituo cha Kisasa cha Matibabu kilichopo katika Hospitali ya Mkoa Dodoma. Kituo hicho kinatarajiwa kuanza kutumika mwishoni mwa mwaka huu. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF akionesha ufunguo wa kituo hicho baada ya kukabidhiwa na baadae alikikabidhi rasmi katika uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Na Mwandishi Wetu
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekabidhiwa kituo chake cha matibabu cha mfano mara baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAZINDUA HUDUMA ZA MATIBABU ZINAZOTOLEWA BURE NA MADAKTARI BINGWA-TABORA

Mkuu wa mkoa wa Tabora  Bw.Ludovick Mwananzila (kulia) akikabidhi msaada wa shuka kwa Mganga mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete Dr.Gunini Kamba,katikati ni Katibu tawala mkoa wa Tabora Bi.Kudra Mwinyimvua.Mkuu wa mkoa wa Tabora akihutubia wakati wa Uzinduzi wa huduma ya Madaktari bingwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete,huduma ambayo inaratibiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF ikiwa ni hatua ya kuwahamasisha wananchi kujiunga na Mfuko huo.
Mjumbe wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHIF yazindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF)

1

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Mh. Abdallah Ulega akipokea mashuka 150 kutoka kwa Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii CHF yaliyotolewa na mfuko huo kwa wilaya ya Kilwa wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika katika kijiji cha Njia Nne Kata ya Tingi, Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa mkoani Lindi Bi Fortunata Raymond.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...

 

10 years ago

BBCSwahili

BBC Yazindua kituo Dar

Wasikilizaji wetu wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kunufaika na kuletwa barani Afrika kwa matangazo ya BBC.

 

9 years ago

Habarileo

NEC yazindua kituo cha mawasiliano

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imezindua kituo cha mawasiliano kusaidia wadau wa uchaguzi hasa wananchi na wapigakura kupata elimu ya mpigakura, kuuliza maswali kuhusu uchaguzi, pamoja na kulinda usalama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ESRF yazindua kituo cha habari

TAASISI ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imezindua kituo cha kuandaa taarifa na habari kwa ajili ya jamii chenye lengo la kushughulikia matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuzi. Akizungumza...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sunderland yazindua kituo cha michezo TZ

Klabu ya soka ya Sunderland ya Uingereza imeandikisha historia katika sekta ya michezo barani Afrika baada ya kufungua kituo cha hifadhi ya michezo kwa vijana wadogo Tanzania

 

11 years ago

Michuzi

NHIF WAENDELEA KUSAIDIA HUDUMA KWENYE WODI YA AKINA MAMA NA WATOTO KITUO CHA AFYA MLANDIZI

 Mwenyekiti wa kamati ya kituo cha afya Mlandizi, bw Makamba Mwaluka (watatu kushoto), akiwakaribisha wageni kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya baada ya kufanya ziara katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha Afya Wilayani Mlandizi. Juni 12,2014 na kukabidhi mashuka kwenye kituo hicho (kulia kwake), Muendeshaji shughuli mama Gaudensia Ndegea (katikati kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha, Michael John, na Mjumbe wa bodi NHIF, bwana Charlse Kajege.  

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani