Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni bajeti ya kumaliza miradi

Mradi kama huu wa kusambaza umeme vijijini ni moja ya miradi iliyolengwa na bajeti kuimaliza.BAJETI ya Serikali ya mwaka 2015/16 ambayo imewasilishwa serikalini, inalenga katika kukamilisha miradi iliyoanza kutekelezwa na Serikali na kulinda mafanikio yaliyokwishapatikana katika sekta za elimu, afya, maji na maendeleo ya jamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KILIMO AWAAGIZA WAKANDARASI WA SKIMU ZA UMWAGILIAJI KUMALIZA MIRADI HARAKA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Musabila Kusaya, akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi na wakandarasi wa miradi ya Umwagiliaji kilichofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 19 Mei, 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Sehemu ya wakandarasi wa miradi ya Umwagiliaji wakifatilia maelekezo ya Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Musabila Kusaya kilichofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 19 Mei, 2020.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana...

 

11 years ago

Mwananchi

Lukuvi- Bajeti imelenga kusaidia miradi, wananchi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Shughuli za Bunge, William Lukuvi amepigia debe Bajeti ya Serikali akisema imejikita katika kusaidia miradi ya maendeleo ya wananchi.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA MIRADI YA MAENDELEO YA MAKAO MAKUU YA WIZARA NA NIDA



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Makao Makuu ya Wizara na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (hawapo pichani) katika Kikao cha kupitia Utekelezaji wa Bajeti na Miradi ya Maendeleo, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara...

 

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAPITISHA BAJETI YA SHS.BILIONI 121 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALI MBALI

Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limepitisha bajeti ya sh.bilioni 121 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya halmashauri kwa mwaka wa fedha wa 2014/2015.

Akitoa taarifa hiyo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mheshimiwa Yusuph Mwenda alisema fedha hizo zimetokana na makusanyo ya vyanzo vya mapato , pesa kutoka ruzuku serikali kuu,Tamisemi,pesa za makusanyo ya ndani ya Halmashauri .Kwa sasa Halmashauri ina uwezo wa kujiendesha ...

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA BAJETI: Bajeti ya Ujenzi imekidhi vigezo

>Miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote. Miundombinu hii ni pamoja na barabara, madaraja, viwanja vya ndege, reli, bandari na nyinginezo. Kiuchumi, hii ni miundombinu migumu (hard infrastructure) ukilinganisha na miundombinu kama ya mawasiliano ikiwamo simu na intaneti ambayo ni miundombinu laini (soft infrastructure) ya kiuchumi.

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani