Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ni sahihi kuikosoa serikali’

MBUNGE wa Viti Maalumu Zaynab Vulu (CCM), amesema ni sahihi kuikosoa bajeti ya serikali pale inapobidi. Alitoa kauli hiyo bungeni wakati akichangia hotuba ya bajeti ya mwaka wa fedha 2014/15....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je, Trump yuko sahihi kuikosoa WHO?

Je, madai ya rais Donald Trump kuhusu Shirika la afya duniani kushindwa majukumu yake kukabiliana na corona yana tija?

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasisitiza matumizi ya takwimu sahihi

NBS -1

Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Ofisi Bw. Michael Madembwe akizungumza na wazalishaji na watumiaji wa takwimu leo jijini Dar es salaam. Warsha hiyo imewakutanisha wadau hao  kutoka maeneo mbalimbali nchini, kubadilishana uzoefu na kuangalia changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika usambazaji na ukusanyaji wa takwimu nchini.

Na  Aron Msigwa

SERIKALI imetoa wito kwa watafiti na wataalam kutoka vyuo vikuu, taasisi za elimu na mashirika binafsi kushiriki kikamilifu kuhamasisha  jamii...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI

Kaimu Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Ofisi Bw. Michael Madembwe akizungumza na wazalishaji na watumiaji wa takwimu leo jijini Dar es salaam. Warsha hiyo imewakutanisha wadau hao kutoka maeneo mbalimbali nchini, kubadilishana uzoefu na kuangalia changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika usambazaji na ukusanyaji wa takwimu nchini. Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, Hajjat Amina Mrisho Said akifungua warsha ya siku mbili ya wazalishaji na watumiaji wa takwimu kutoka ...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yasisitiza matumizi sahihi ya Kiswahili


Na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma.

Katika hali ya kawaida herufi huunda neno na maneno huunda sentensi nayo sentensi huunda kikundi cha maneno. Kwa kawaida neno ni tamko mojawapo miongoni mwa mengi ambalo mtu hulitamka katika mchakato wa mazungumzo unaopelekea iwepo misemo ambayo ni fungu la maneno yenye maana mahususi ili kutoa fundisho kwa jamii.

Kwa mantiki hiyo, semi ni maneno yanayozungumzwa na watu yanayoleta maana mahususi katika lugha inayozungumzwa katika eneo fulani. Kiswahili ikiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ichague karata sahihi gesi iwanufaishe Watanzania

Wadau mbalimbali wa sekta ya gesi wamekuwa wakilalamikia Serikali kutokana na hofu kuhusu mgawanyo sawa wa rasilimali ya gesi asilia na ushiriki wa wazawa kwenye sekta hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yaitaka Spencon kumaliza kazi ya usambazaji umeme vijijini kwa muda sahihi

IMG_1883

Msafara wa Naibu Waziri Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani ukikagua ujenzi wa kituo kipya cha mjini Singida cha kutawanya umeme kilovoti 400 wa gridi kutoka nchini Kenya na Tanzania. Kituo hicho kitasambaza umeme kutoka Singida kwenda mkoa wa Iringa na Shinyanga.

IMG_1910

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani (wa kwanza kushoto mwenye miwani) akizungumza na maafisa kutoka ofisi na madini kanda ya kati  mkoa wa Singida na wa wilaya ya Manyoni, kwenye ofisi ya Mkuu wa wa wilaya...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani