Ni vigumu kukiri lakini…
KATIKA ndoa kila kitu kina muda wake. Kuna muda wa kufurahi, utani na hata mitafaruku ya hapa na pale. Hiyo mitafaruku inapotokea ni jukumu la aliyeianzisha kuomba samahani kwa kukiri...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Adai mateso yamlazimisha kukiri mauaji
10 years ago
Mtanzania23 May
Serikali yatakiwa kukiri kushindwa kutekeleza ahadi zake
Na Debora Sanja, Dodoma
MBUNGE wa Ole, Rajab Mbarouk Mohamed (CUF), ameitaka Serikali kukiri kushindwa kutekeleza ahadi za Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa muda wa utekelezaji wake umekwisha.
Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, alisema kitendo cha Serikali kushindwa kukamilisha ahadi ya Kikwete ya kujenga barabara ya kilomita 2.5 ya Singano kwa Mkocho hadi Kivinje ni dalili ya kushindwa kwa Serikali hiyo.
“Kwanini Serikali hii ya CCM sasa isiwathibitishie wananchi kwamba imeshindwa...
10 years ago
GPLMLINZI AKANUSHA KUMUUA SLAA, ADAI ALILAZIMISHWA KUKIRI
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
'Ni vigumu kuidhibiti Arsenal 'Guardiola
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Kwanini ni vigumu kuacha ukeketaji?
MKATABA wa Haki ya Mtoto unasema kwamba Maendeleo ya mtoto yanahusu ukuaji wake kimwili, kiakili, kimaadili na kiroho. Haki ya Elimu, Watoto na Ajira, Elimu ya Uhusiano wa wasichana na...
11 years ago
BBCSwahili28 Dec
Ni vigumu kusitishwa vita Sudan K.
10 years ago
Mwananchi26 Apr
‘Ni vigumu kupiga Kura ya Maoni, Uchaguzi’
11 years ago
Habarileo08 Oct
Lipumba- Ni vigumu kuiondoa CCM madarakani
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekiri kwamba ni vigumu kuondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maradakani bila kuwa na umoja na mshikamano baina ya wanachama na viongozi.