Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni wakati wa kuihoji Serikali kwa kina

Hakuna shaka, safari ya Dodoma imewadia na saa ya kukuna vichwa kwa viongozi wetu imetimia. Sina shaka, Dodoma ambao ni mji mkuu wa nchi kisiasa, utakuwa umeanza kuchangamka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Dina: Wakati wa Kina Wema Umekwisha

CHIPUKIZI anayekuja juu na ambaye alifanya vyema katika Filamu ya Nakufa kwa Ajili Yako, Nasra Mohamed ‘Dina’ amesema wakati wa mastaa wenye majina makubwa kama Wema Sepetu umepita kwani wapo wasanii wapya wanaopiga kazi kiuhakika.

Akizungumza na gazeti hili juzikati, Dina alisema mastaa kama Wema, Lulu, Aunt na wengineo ni wa kuwekwa kando, kwani muda wao umeisha, watoe nafasi kwa wengine kuingia kazini.

“Mimi nataka mastaa wakivuma basi wawe wanafanya kazi kisawasawa, siyo wanabakia...

 

5 years ago

Michuzi

WATAALAMU WA KUTOA DAWA ZA USINGIZI KUPUNGUZA VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO WAKATI WA UPASUAJI

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Salum Manyata  amewahasa wataalamu wa kutoa dawa za usingizi nchini kuwa wana jukumu kubwa la kuboresha utoaji wa huduma wa dawa za usingizi kwa kina mama wajawazito wakati wa upasuaji ili kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa utoaji huduma hiyo.

Dkt. Manyata ameyasema leo wakati akifungua mafunzo elekezi ya utoaji dawa za usingizi salama wakati wa upasuaji kwa kina mama wajawazito yanayofanyika jijini Mbeya kwa siku tatu na kushirikisha wataalamu...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUTATUA SUALA LA WASTAAFU KUTOPATA MAFAO KWA WAKATI







Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George Huruma Mkuchika (Mb) akitoa ahadi Bungeni ya kutatua changamoto ya ucheleweshwaji wa mafao ya wastaafu wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021.

………………………………………………………………..

James K. Mwanamyoto-Dodoma

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imepanga kukutana na Maafisa Utumishi wote nchini ili kuwakumbusha na...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUJIBU MASUALA YA WANANCHI KWA WAKATI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kata ya Ilolo mpya jimbo la Isimani mkoani Iringa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh.William Lukuvi kufyatua matofali ya ujenzi wa ofisi ya CCM ya Kata Kijiji cha Luganga kata ya Ilolo Mpya.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia daftari la wanachama wa shina namba sita kwa Balozi Changula Mlula.    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kuwakatia rufaa kina Mramba

>Siku nne baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwahukumu kifungo cha miaka mitatu jela mawaziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Daniel Yona na Basil Mramba, upande wa mashitaka umewasilisha  kusudio la kukata rufaa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara waiomba Serikali kuongeza kina cha maji

WAFANYABIASHARA wanaotumia kivuko cha Kilambo kilichopo wilaya ya Mtwara vijijini, mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuona umuhimu wa kuongeza kina cha maji katika kivuko hicho. Wakizungumza na Tanzania Daima juzi  wafanyabiashara...

 

5 years ago

Michuzi

CORONA YASABABISHA WAFANYABIASHARA KUCHELEWA KUAGIZA SUKARI KWA WAKATI, SERIKALI YAINGILIA KATI YATATUA CHANGAMOTO HIYO - WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) akitoa ufafanuzi juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya sukari nchini, Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma


Serikali imewahakikishia watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari Tanzania hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile.


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) ameyasema hayo Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020 wakati akitoa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ukuaji wa kiuchumi wa Uchina kwa kina

BBC inasimulia kuhusu ukuaji wa kiuchumi wa Uchina na ustawi wa miji - kwa picha, michoro na video

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani