Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NICKI, MEEK WADAIWA KUANDAA NDOA KWA SIRI

NEW YORK, Marekani MASTAA Nicki Minaj na laazizi wake Meek huenda wakafunga ndoa wiki hii baada ya mtu wa karibu na Meek kufunguka kuwa mishe za shughuli hiyo zimeanza kwa siri. Akisambaza umbea kwenye mtandao mmoja wa habari za mastaa, sosi huyo alisema ndoa ya mastaa hao inatarajiwa kufungwa jijini New York baada ya kumaliza shoo ya Tidal ambayo walitarajiwa kuifanya. Imeelezwa kuwa, wazazi wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Ndoa ya Nicki Minaj, Meek Mill yazua mjadala mitandaoni

Meek-Mill-Nicki-MinajNew York, Marekani

IKIWA zimepita siku chache baada ya rappa machachari kutoka Marekani Meek Mill amvalishe pete ya dhahabu mpenzi wake Nick Minaj kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa hivi karibuni wapendanao hao  wameibua ‘headline’ kwenye Mtandao wa Kijamii wa Twitter baada ya Nick kuwauliza maswali mashabiki wake juu ya mahali pa kufanyia harusi hiyo akilenga ufukweni au kanisani.

Baada ya Nick, 33, kupost maswali hayo ndani ya muda mchache zaidi ya mashabiki wake 20,000 walitoa maoni...

 

9 years ago

Bongo5

Ex wa Nicki Minaj kwenda kortini, ni kudai kulipwa kwa kushiriki kuandaa album tatu za rapper huyo

Herve Leger By Max Azria - Front Row - Mercedes-Benz Fashion Week Spring 2014

Aliyekuwa boyfriend wa Nicki Minaj, Safaree Samuels anaenda mahakamani kushtaki kudai haki yake.

Herve Leger By Max Azria - Front Row - Mercedes-Benz Fashion Week Spring 2014

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Samuels anataka alipwe mpunga wake kwa kuchangia kutengenezwa kwa album tatu za Nicki, The Pinkprint, Pink Friday, na Pink Friday: Roman Reloaded.

Pia anataka alipwe kwa kuhusika kwenye singles kubwa zikiwemo “Only” ambayo ex wake amewashirikisha Chris Brown, Drake, na Lil Wayne, “Flawless (Remix)” akiwa na Beyoncé, na “Feeling Myself.”

Samuels ambaye pia ni...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Meek Mill amchumbia Nicki Minaj

12276932_1722929857930146_52455195_n

“Ntalalalala..you may now kiss the bride! Huenda muda si mrefu Meek Mill na Nicki Minaj wakawa wanachama wapya wa ndoa.

12353300_145621579135428_1770954360_n
Nicki Minaj akionesha pete aliyovishwa na Meek Mill

Picha za Instagram za Nicki Minaj zinaonesha kuwa rapper huyo amechumbiwa na mpenzi wake, Meek.

“Now this is what I’m talking about baby. Lol. Love u @meekmill,” ameandika Nicki kwenye picha ya mkono wake unaonesha pete ya uchumba kwenye kidole chake cha chanda.

“This stone is flawless. (My voice) lol,” ameandika kwenye...

 

10 years ago

GPL

MEEK MILL AKANA KUMUIBA NICKI MINAJ

Rapa Meek Mill. New York Marekani
RAPA Meek Mill ameamua kufunguka kuwa hakumuiba mpenzi wake wa sasa, Nicki Minaj kutoka kwa mpenzi wake wa zamani, Safaree Samuels ambaye alidumu na Minaj kwa miaka 12. Rapa Meek Mill akiwa na mpenzi wake Nick Minaj. “Awali, sikuwa na mipango na Nick kabisa, uhusiano wetu umetokea tu na wala sihusiki katika kuvunjika kwa penzi lake na mpenzi wake wa zamani,” alisema… ...

 

9 years ago

GPL

NICKI NA MEEK MILL WAKODI UKUMBI KUTAZAMA MUVI

Marapa Nicki Minaj na Meek Mill ambaye ni mpenzi. New York, Marekani WAKATI, marapa Nicki Minaj na Meek Mill ambaye ni mpenzi wake wakitegemewa kumaliza ziara yao ya The Pinkprint waliyoianza tangu mwezi uliopita,wameendelea kufanya vituko baada ya hivi karibuni kokodi ukumbi kwa ajili ya kutazama muvi inayoitwa Staight Outta Compton,wakiwa wawili tu. Tukio hilo linalojenga vichwa vya habari kwenye anga la burudani kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Nicki Minaj adai anaichukua beef ya Meek Mill na Drake

Nicki Minaj amekava jarida la The New York Times na kuzungumzia mada kibao ikiwemo beef katika ya boyfriend wake, Meek Mill na msanii mwenzake wa Young Money, Drake. Nicki anadai kuwa hapendi kuona beef hiyo ikiendelea. “Wote ni wanaume, wanaume waliokua. Ni kati yao,” alisema. “Ninaichukia. Hainifanyi nijisikie vizuri. Hauwezi kamwe kutaka kuchagua upande kati […]

 

9 years ago

Bongo5

Napenda sana kumbusu Meek Mill — Nicki Minaj (Picha)

Rapper Meek Mill na mpenzi wake Nicki Minaj wataonekana kwenye jarida la mwezi ujao la GQ. Kwenye toleo hilo kutakuwepo na picha zao za pamoja huku jarida hilo likiwapa jina la “2015’s Bonnie and Clyde.” Picha hizo zilipigwa siku ile ile ambayo Drake aliachia single ya kumdiss Meek, . Charged Up. Kwenye mahojiano hayo Nicki […]

 

9 years ago

Bongo5

Nicki Minaj na Meek Mill kununua mjengo wa kifahari pamoja

Nicki Minaj na Meek Mill wanaupeleka uhusiano wao next level kwa kuamua kununua mjengo wa kifahari pamoja. Kwa mujibu wa TMZ wapenzi hao wanataka kununua nyumba yenye vyumba 9 huko Hollywood Hills. Inadaiwa kuwa tangu Nicki aachane na mpenzi wake Safaree Samuels na nyumba waliyokuwa wakiishi kupangishwa, hana sehemu yake mwenyewe. Pia Meek anayetokea Philadelphia […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani