Nicky Minaj awatumbuiza raia wa Angola
Nicki Minaj aliwatumbuiza maelfu ya mashabiki katika mji mkuu wa Angola Luanda licha ya shinikizo kutoka kwa wanaharakati wa kupigania haki za kibinadamu asiandae tamasha hilo la Krismasi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBC21 Dec
Minaj performs controversial Angola gig
9 years ago
BBC16 Dec
Nicki Minaj urged to cancel Angola gig
9 years ago
Bongo516 Dec
Wanaharakati wapinga show ya Nicki Minaj nchini Angola
![Nicki-Minaj](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Nicki-Minaj-300x194.jpg)
Wanaharakati wa haki za binadamu wamepinga kufanyika kwa show ya Nicki Minaj nchini Angola.
Rapper huyo anatarajiwa kutumbuiza Jumamosi hii, December 19 kwenye party ya Christmas iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya Unitel, inayomilikiwa na familia ya rais wa nchi hiyo, José Eduardo dos Santos.
Rais huyo anadaiwa kujikusanyia mali nyingi za nchi hiyo hususan mafuta na almasi kwaajili ya familia yake.
Rais wa taasisi ya Human Rights Foundation, Thor Halvorssen, amemuomba Minaj kwenye barua...
9 years ago
Bongo517 Dec
Nicki Minaj kutumbuiza Angola licha ya wanaharakati kuipinga show yake
![12327969_468705609983531_2040894811_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12327969_468705609983531_2040894811_n-300x194.jpg)
Nicki Minaj atatumbuiza nchini Angola Jumamosi hii licha ya taasisi ya Human Rights Foundation kuipinga show hiyo.
Minaj amethibitisha show hiyo kwenye Instagram.
“ANGOLA! R u ready for the show?!???! Can’t wait to see u guys! Get your tickets here,” ameandika rapper huyo wa YMCMB.
Baadaye rapper huyo aliandika kwenye Twitter:
“Every tongue that rises up against me in judgement shall be condemned.”
Minaj atatumbuiza kwenye party ya Christmas iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya Unitel,...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Nicki Minaj alipigwa STOP kuperform Angola jumamosi hii! Show itaendelea?!
Msanii kutokea Marekani, Nicki Minaj jana aliziandika headlines kwenye kurasa za burudani baada ya taarifa kusambaa kuwa amepigwa stop kwenda kutoa show Angola jumamosi ya tarehe 19 December wiki hii, kutokana na Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Angola kupinga kufanyika kwa show hiyo. Wanaharakati hao walimuandikia Nicki Minaj barua kumuomba rapper huyo asitishe show […]
The post Nicki Minaj alipigwa STOP kuperform Angola jumamosi hii! Show itaendelea?! appeared first on...
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video)
Rapper wa kike mrembo kabisa Nicki Minaj anakuwa mmoja ya mastaa wa Marekani na mastaa wakubwa Duniani waliogonga vichwa vya habari kwa kufanya show za nguvu kwenye nchi za Africa. Mzigo mzima wa Nicki Minaj ulikuwa ni Angola weekend iliyopita na hapa nina kipande cha video kuanzia Nicki anatua Airport, show yake kwenye stage, na […]
The post Dakika nne za kushuhudia mwanzo mwisho shangwe za Angola alivyotua Nicki Minaj..(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
Khadija Kopa awatumbuiza mashabiki Uingereza
9 years ago
Bongo516 Sep
Picha: Flaviana Matata na Rosemary Kokuhilwa wajichanganya na Paris na Nicky Hilton kwenye New York Fashion Week
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini