Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nicole Scherzinger na Lewis Hamilton waachana kwa mara ya nne!

Nicole Scherzinger ameachana na mpenzi wake Lewis Hamilton kwa mara ya nne. Muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 36 ameachana na mshindi huyo wa mashindano ya magari ya Formula One, 30, kutokana na uhusiano kuwa wa mbali (Long-distance relationship). Nicole anadaiwa kuumizwa mno na hatua hiyo. Wawili hao waliokuwa na uhusiano kwa miaka saba wanaachana […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

HAMILTON AMEPATA MRITHI WA NICOLE?

Muendesha magari ya Langalanga, Lewis Hamilton. New York, Marekani
KICHECHE? Ndiyo swali linaloulizwa kufuatia muendesha magari ya Langalanga, Lewis Hamilton, kuhusishwa kutoka kimapenzi mara kwa mara na wadada tofautitofauti lakini wikiendi iliyopita alinaswa na kitu kipya. Akiwa na kidosho huyo. Hamilton amehusishwa kutoka na warembo kibao akiwemo mdogo wa kufikia wa Kim Kardashian, Kendall Jenner.  
Hamiliton… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton ajifagilia

Bingwa wa dunia wa mbio za magari za langalanga wa timu ya Mercedes Lewis Hamilton amesema kiakili anamzidi Nico Rosberg.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton aibuka kidedea

Lewis Hamilton ameshinda mbio za Abu Dhabi Grand Prix,na kumfanya dreva huyo wa Formula One kuwa mshindi kwa mara ya pili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton kuongeza mkataba mpya?

Timu ya magari yaendayo kasi ya Mercedes ina matumaini ya kumuongezea mkataba dereva wake Lewis Hamilton.

 

9 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton ashinda langalanga Japan

Lewis Hamilton amejitetea baada ya kumpiku Nico Rosberg kwenye kona hatari katika mbio za magari ya langalanga ya Japan.

 

9 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton ashinda taji la Japan GP

Dereva wa magari yaendayo kasi Lewis Hamilton ameshinda michuano ya Suzuki na kutwaa taji la 41 katika mchezo huo

 

10 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton kinara tuzo za BBC

Lewis Hamiliton dereva wa timu ya Mercedes, ameibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya BBC ya mwanamichezo bora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani