Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Niliyoyaona, kuyasikia safarini Korea Kusini VII

KAMA ni mafunzo tumepata. Kazi au deni tulilonalo sasa ni kuyatendea kazi mafunzo hayo, kwasababu mtindo wa uongozi na maisha ya wananchi wa Korea Kusini, unakinzana na mazingira ya hapa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Niliyoyaona, kuyasikia safarini Korea Kusini — 2

Hali kwenye ndege ya Kampuni ya Qatar  ilikuwa kama sebuleni. Unanyanyuka kwenye kiti chako kama kawaida unakwenda maliwatoni unapata huduma kubwa na ndogo unarudi unaendelea na mambo yako kama kawaida....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Niliyoyaona, kuyasikia safarini Korea Kusini — 3

WAKOREA wana mpangilio wa magari kujipanga kwa kuzingatia njia zake maalumu, yanapokata kona unafurahia kuona namna yalivyojipanga  vizuri. Sasa endelea. Tulipofika  Mji wa Yeongdong-daero, tulijulishwa kwamba ndipo tutakapolala na kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Niliyoyaona, kuyasikia safarini Korea Kusini

INGAWA ilikuwa ni mara yangu ya tatu kwenda nchini Korea Kusini kwa ajili ya kujengewa uwezo na taasisi ya kimataifa ya nchini humo ya Saemaul Undong kuhusu kampeni ya maendeleo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani

Korea Kusini imesema risasi zimefyatuliwa kwenye mpaka wao, siku moja baada ya Kiongozi wa Korea Kaskazini kuoneakana hadharana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini

Korea kusini inasema kuwa korea kaskazini imepeleka silaha kwenda kwa mpaka baada ya kutoa vitisho vya kuishambulia

 

11 years ago

BBCSwahili

Algeria imelaza Korea Kusini 4-2

Algeria imeilaza Korea Kusini 4-2 katika mechi ya kufa au kupona na kuwa timu ya kwanza Afrika kufunga mabao 4

 

11 years ago

BBCSwahili

Janga baharini Korea Kusini

Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana , wawili wamefariki na wengine 164 wameokolewa

 

11 years ago

BBCSwahili

Makahaba wazee wa Korea Kusini

Umasikini na changamoto za maisha zawalazimu wazee wa umri wa miaka 71 kufanya ukahaba Korea Kusini

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani