‘Nimekubali Kuolewa’ Imetoka Leo na Kuisha Sokoni- Dr Cheni
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dokta Cheni’ amewashukuru mashabiki na wapenzi wa kazi zake kwa kuipokea kazi yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ kwani imeigia leo sokoni na kununuliwa nakala zote hvyo inawabdiki wazalishe nakala nyingine zaidi.
“Asante Mungu muumba mbingu na ardhi asante washabiki wangu kwa kuifanya hii movie leo kuingia sokoni na kuisha copy zote dukani ila kesho zitaletwa copy zengine kwa maduka yote niombe radhi kwa wote mliokosa leo msg zenu nimezipata kesho...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
‘Nimekubali Kuolewa’ ya Dr Cheni Yauza Nakala 20,000 Ndani ya Wiki 1
Staa wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dr Cheni’ amesema filamu yake ‘Nimekubali Kuolewa’ ndio filamu yake iliyofanya vizuri kuliko filamu zake zote ambapo tayari imeshauza nakala elfu 20,000 ndani ya wiki moja tangu iingie sokoni.
Dr Cheni ameiambia Bongo5 kuwa mpaka sasa hajui ni maajabu gani yametokea mpaka filamu hiyo kupendwa kiasi hicho.
“Kwa kawaida ndani ya wiki moja huwaga tunauza nakala elfu 5,000. Lakini kwenye filamu ‘Nimekubali Kuolewa’ imenifungulia njia,” amesema.
“Toka...
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
Baada ya kuzuiliwa kwa muda: Filamu ya ‘Nimekubali Kuolewa’ ya Dr Cheni yaruhusiwa kutoka.
Msanii wa filamu, Mahsein Awadh Said aka Dr. Cheni’ amesema filamu yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ iliyokuwa imezuiwa kutoka na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) inatarajiwa kutoka mapema mwakani baada kukamilisha matakwa yao.
Dokta Cheni alisema kuzuiliwa kwa filamu hiyo kulimnyima raha kiasi cha kumfanya asifanye kazi nyingine mpaka akamilishe kazi hiyo.
“Nimefanikiwa kuipigania filamu yangu ya ‘Nimekubali Kuolewa’, itatoka mwezi wa pili mwakani. Kikubwa nilichokifanya ni kurekebisha baadhi...
10 years ago
Bongo Movies23 May
Mke Amshtukia Dr Cheni Kutaka Kuolewa
Katika hatua isiyokuwa ya kawaida staa wo bongo movies, Mahsen Awadh ‘Dr Chen’ ameleza kuwa mkewealidhani angeolewa.
Dr Cheni aliandika kwenye ukurasa wake mtandaoni kuwa mkewe aliipinga filamu ya “Nimekubali Kuolewa kwa kudhani Cheni ataolewa kweli.
Filamu hiyo ilikuwa imezuiwa na Bodi ya ukaguzi wa Filamu ambayo imeiruhusu kutoka baada ya kufanyiwa marekebisho.
“Wife naye ameiruhusu movie itoke nimemwelewesha kuwa sijaolewa kweli nimeolewa kimovie tu amekubali itoke dah ndoa...
10 years ago
GPLDK CHENI ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO
10 years ago
VijimamboMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
10 years ago
GPLMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ScDfzDGFdfp07OtJI2l*oyd2cf1WUC*26vF5XhxidBS31FU16*TJJHT9-x9ctcSAjo54qjxYBfzobwNKf3-plppegH3qOzpY/rose.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qB*eEYpVu7NZ2mXlj5EA-4YgsGGhDhIkFPkyFueh46s7pKRPqaWzlyRuAtxvGgXj*AKG1R3jlX6yWpXGDkilHA*EneHeTYW*/CpuPoster.jpg?width=750)
FILAMU KUBWA YA C.P.U IPO SOKONI LEO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGibY57*oUmpzg8SGooM*KgS0RqRMzDFOIvFzH6fUCIc3YjsdQ1FnzimX7QpLDnkmD4Md89KLpkgbTxT7hSDVjk8j/AZAMVSYANGA.jpg?width=650)
YANGA VS AZAM, MTOTO HATUMWI SOKONI LEO