Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA VS AZAM, MTOTO HATUMWI SOKONI LEO

PAZIA la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Kikosi cha Young Africans Sports Club. Young Africans ambayo imekuwa na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UJERUMANI VS ARGENTINA: MTOTO HATUMWI SOKONI LEO

NI Ujerumani vs Argentina usiku wa leo. MIAMBA miwili ya soka duniani, Ujerumani na Argentina inakutana kwa mara nyingine katika fainali za Kombe la Dunia 2014 usiku huu katika Uwanja wa Maracana, Rio de Jeneiro nchini Brazil. Timu hizo zinakutana kwa mara ya tatu katika fainali za Kombe la Dunia ambapo mwaka 1986 zilikutana katika fainali iliyopigwa nchini Mexico na Argentina kutwaa kombe baada ya ushindi wa mabao 3-2. 1990 timu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

YANGA VS AL AHLY: Hatumwi mtoto dukani leo

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania katika michuano ya klabu barani Afrika, Yanga, leo wanashuka Dimba la Taifa jijini Dar es Salaam kuumana na mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa, Al Ahly...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto hatumwi dukani leo, Ni katika ufungaji wa kampeni za CCM jijini Mwanza

Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu (Pichani) amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya shughuli ya kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu kitaifa kwa upande wa Chama hicho inayotarajiwa kufanyika hii leo katika Uwanja wa CCM Kirumba yamekamilika.

Na:George Binagi-GB Pazzo

Screen kubwa itafungwa nje ya uwanja huo kwa ajili ya wale watakaokosa nafasi ya kuingia uwanjani kwa kuwa shughuli hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na Maeneo...

 

9 years ago

Michuzi

MTOTO HATUMWI DUKANI LEO . NI KATIKA UFUNGAJI WA KAMPENI ZA CCM JIJINI MWANZA.

Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu (Pichani) amesema kuwa maandalizi kwa ajili ya shughuli ya kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu kitaifa kwa upande wa Chama hicho inayotarajiwa kufanyika hii leo katika Uwanja wa CCM Kirumba yamekamilika.
Na:George Binagi-GB PazzoScreen kubwa itafungwa nje ya uwanja huo kwa ajili ya wale watakaokosa nafasi ya kuingia uwanjani kwa kuwa shughuli hiyo inatarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na Maeneo jirani.Mbali...

 

10 years ago

Habarileo

Yanga, Azam viwanjani leo

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Yanga na wale wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Azam FC leo wanashuka dimbani kwenye viwanja viwili tofauti kujipima katika michezo ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaua, Azam leo

Mshambuliaji Mrisho Ngassa kwa mara nyingine alifunga mabao matatu na kuiongoza Yanga kuichapa Komorozine 5-2, kwenye Uwanja wa Taifa wa Mitsamiouli katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam kuibeba Simba leo?

Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van Pluijm amesema hatakubali kuona timu yake ikikabidhiwa kombe kwa kufungwa au kutoka sare na Azam leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayoanza saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam zina kazi leo

VINARA wa Ligi Kuu bara Azam, Yanga na Mtibwa Sugar leo wapo Zanzibar kwenye uwanja wa Amani katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Pazia la michuano hiyo ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi linafunguliwa leo ambapo macho na masikio ya mashabiki wa soka kwa Bara na Zanzibar yote yapo kwenye michuano hiyo baada ya ligi zote kusimama kwa muda.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kumbakumba, Simba, Azam leo

Yanga imevunja mwiko wa kutoifunga JKT kwenye Uwanja wa Mkwakwani baada ya kuichapa kwa mabao 2-0 jana na kukalia usukani wa ligi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani