Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, Azam zina kazi leo

VINARA wa Ligi Kuu bara Azam, Yanga na Mtibwa Sugar leo wapo Zanzibar kwenye uwanja wa Amani katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Pazia la michuano hiyo ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi linafunguliwa leo ambapo macho na masikio ya mashabiki wa soka kwa Bara na Zanzibar yote yapo kwenye michuano hiyo baada ya ligi zote kusimama kwa muda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam zina ndoto tofauti

Yanga na Azam zinaogelea kwenye mabwawa tofauti ya Ligi Kuu kwa sasa, ingawa ni Azam zaidi inayopaswa kuangalia mwenendo wake kama inataka ubingwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaua, Azam leo

Mshambuliaji Mrisho Ngassa kwa mara nyingine alifunga mabao matatu na kuiongoza Yanga kuichapa Komorozine 5-2, kwenye Uwanja wa Taifa wa Mitsamiouli katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa.

 

10 years ago

Habarileo

Yanga, Azam viwanjani leo

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Yanga na wale wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Azam FC leo wanashuka dimbani kwenye viwanja viwili tofauti kujipima katika michezo ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.

 

11 years ago

GPL

NANI KUCHEKA LEO, YANGA AU AZAM?

TIMU ya Yanga SC leo inavaana na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar. Kitendawili kinabaki ni nani kati yao ataibuka kidedea katika mtanange huo ambapo kila mmoja anawania kutwaa ubingwa wa ligi hiyo. Usikose kuungana nasi, kujua nini kinaendelea mpira ukianza!

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam kuibeba Simba leo?

Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van Pluijm amesema hatakubali kuona timu yake ikikabidhiwa kombe kwa kufungwa au kutoka sare na Azam leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayoanza saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kumbakumba, Simba, Azam leo

Yanga imevunja mwiko wa kutoifunga JKT kwenye Uwanja wa Mkwakwani baada ya kuichapa kwa mabao 2-0 jana na kukalia usukani wa ligi.

 

10 years ago

GPL

YANGA VS AZAM, MTOTO HATUMWI SOKONI LEO

PAZIA la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Kikosi cha Young Africans Sports Club. Young Africans ambayo imekuwa na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...

 

9 years ago

Vijimambo

AZAM NA YANGA TAIFA LEO KOMBE LA NGAO


Mpaka sasa ni 0-0 mpira ni mapumziko
Washambuliaji wa Yanga Saimon Msuva, Donald Ngoma raia wa Botoswana na Vicent Bossou raia wa Mali wanaitetekisha ngome ya Azam kila Mara kutokana na mashambulizi ya Mara Kwa Mara kutoka Kwa winga wao Kijana mdogo Geofrey Mwashiuya. Yanga kipindi cha kwanza walitoa mashambulizi kutoka upande wa Kusin kenda kaskazini kipindi cha pili Yanga watatoa mashambulizi kutoka kaskazini kwenda Kusin, historian ya uwanja huu wa Taifa goli la upande wa kusini uwa...

 

11 years ago

Michuzi

AZAM YACHOMOA, YATOKA SARE NA YANGA LEO NESHNO

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Didier Kavumbagu (wa pili kulia), wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ilipopambana na Azam  FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1. 
Heka heka: Golikipa wa timu ya Azam FC, Aishi Salum akiokoa moja ya hatari langoni mwake. Mfungaji wa bao la Yanga, Didier Kavumbagu akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Azam FC. Beki wa Azam FC, Gadiel Michael akimiliki mpira (kushoto)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani