Yanga, Azam kuibeba Simba leo?
Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van Pluijm amesema hatakubali kuona timu yake ikikabidhiwa kombe kwa kufungwa au kutoka sare na Azam leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayoanza saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Azam FC kuibeba Ashanti leo?
WAUZA mitumba wa Ilala jijini Dar es Salaam, Ashanti United, usiku wa leo wanatarajiwa kushuka dimba la Amaan visiwani hapa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi katika mchezo mgumu dhidi...
10 years ago
Mwananchi02 Mar
Udhaifu wa Simba kuibeba tena kwa Yanga
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Yanga kumbakumba, Simba, Azam leo
10 years ago
Mwananchi25 Oct
LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
9 years ago
Habarileo06 Nov
Singano kamili kuibeba Azam
WINGA Ramadhani Singano ‘Messi,’ amesema yupo tayari kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC kinachoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuzoea mfumo unaotumiwa na kocha Stewart Hall.
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Yanga, Azam, Simba vitani
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
LIGI Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita katika viwanja tofauti huku Yanga ikiikaribisha Azam FC katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Yanga, Azam na Simba zitakuwa zikicheza kusaka ushindi katika mechi zao ili zijiweke katika nafasi nzuri katika mbio za kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara.
Yanga ina pointi 15 sawa na Azam lakini inaongoza kwa kupachika mabao 13 huku Azam ikiwa na mabao 9, hivyo kila moja itakuwa ikisaka ushindi ili kuongoza...
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Vita ya Yanga, Azam, Simba
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.
Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...