Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaua, Azam leo

Mshambuliaji Mrisho Ngassa kwa mara nyingine alifunga mabao matatu na kuiongoza Yanga kuichapa Komorozine 5-2, kwenye Uwanja wa Taifa wa Mitsamiouli katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Simba, KCC vitani leo .Azam yaua 2-0, Chuoni vs URA sare

c WEKUNDU wa Msimbazi, Simba baada ya juzi kuanza vema michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuifunga AFC Leopards ya Kenya kwa bao 1-0, leo inajitupa tena dimba la Amaan...

 

10 years ago

Habarileo

Yanga, Azam viwanjani leo

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Yanga na wale wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Azam FC leo wanashuka dimbani kwenye viwanja viwili tofauti kujipima katika michezo ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.

 

11 years ago

GPL

NANI KUCHEKA LEO, YANGA AU AZAM?

TIMU ya Yanga SC leo inavaana na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar. Kitendawili kinabaki ni nani kati yao ataibuka kidedea katika mtanange huo ambapo kila mmoja anawania kutwaa ubingwa wa ligi hiyo. Usikose kuungana nasi, kujua nini kinaendelea mpira ukianza!

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam zina kazi leo

VINARA wa Ligi Kuu bara Azam, Yanga na Mtibwa Sugar leo wapo Zanzibar kwenye uwanja wa Amani katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Pazia la michuano hiyo ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi linafunguliwa leo ambapo macho na masikio ya mashabiki wa soka kwa Bara na Zanzibar yote yapo kwenye michuano hiyo baada ya ligi zote kusimama kwa muda.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kumbakumba, Simba, Azam leo

Yanga imevunja mwiko wa kutoifunga JKT kwenye Uwanja wa Mkwakwani baada ya kuichapa kwa mabao 2-0 jana na kukalia usukani wa ligi.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam kuibeba Simba leo?

Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Mholanzi Hans van Pluijm amesema hatakubali kuona timu yake ikikabidhiwa kombe kwa kufungwa au kutoka sare na Azam leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayoanza saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

AZAM NA YANGA TAIFA LEO KOMBE LA NGAO


Mpaka sasa ni 0-0 mpira ni mapumziko
Washambuliaji wa Yanga Saimon Msuva, Donald Ngoma raia wa Botoswana na Vicent Bossou raia wa Mali wanaitetekisha ngome ya Azam kila Mara kutokana na mashambulizi ya Mara Kwa Mara kutoka Kwa winga wao Kijana mdogo Geofrey Mwashiuya. Yanga kipindi cha kwanza walitoa mashambulizi kutoka upande wa Kusin kenda kaskazini kipindi cha pili Yanga watatoa mashambulizi kutoka kaskazini kwenda Kusin, historian ya uwanja huu wa Taifa goli la upande wa kusini uwa...

 

10 years ago

GPL

YANGA VS AZAM, MTOTO HATUMWI SOKONI LEO

PAZIA la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam FC kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Kikosi cha Young Africans Sports Club. Young Africans ambayo imekuwa na rekodi ya kufanya vizuri katika michezo ya Ngao ya Jamii, itashuka dimbani kupambana na wana lambalamba Azam FC huku ikiwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wapinzani wa Yanga na Azam kutua Dar es salaam leo

>Wapinzani wa Yanga timu ya Komorozine de Domoni kutoka Comoro watatua nchini leo tayari kwa mchezo wa Jumamosi wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani