NANI KUCHEKA LEO, YANGA AU AZAM?
![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*W2QJ-NIHqaJJLcjYNgU42jlYyImsQr9atZosHEt2t8cZG0sr5Xrvahb3td5kjNVBJVul3uZ6SrVxAIVQv-PmIH/yanganaazam.jpg?width=650)
TIMU ya Yanga SC leo inavaana na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar. Kitendawili kinabaki ni nani kati yao ataibuka kidedea katika mtanange huo ambapo kila mmoja anawania kutwaa ubingwa wa ligi hiyo. Usikose kuungana nasi, kujua nini kinaendelea mpira ukianza!
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo19 Sep
Julio: Simba, Yanga Azam hao ndio nani?
TIMU ya Mwadui FC imesema haiziogopi timu za Azam, Simba wala Yanga kwani imejipanga kuhakikisha inapambana nazo kuondoka na ushindi.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jasBCUH8kA4/VbfYwwZkCwI/AAAAAAAHsUw/IWKCVudZj3g/s72-c/azam-yanga-aug17-2013.jpg)
AZAM, YANGA KUKIPIGA ROBO FAINALI YA KAGAME CUP KESHO, NANI KUIBUKA KIDEDEA??
![](http://2.bp.blogspot.com/-jasBCUH8kA4/VbfYwwZkCwI/AAAAAAAHsUw/IWKCVudZj3g/s640/azam-yanga-aug17-2013.jpg)
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Watanzania kulia au kucheka leo, shilingi yaendelea kuporomoka
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slfaosjdzdQXHdn5R9Yis5Fm9RkHiFG9fvzffRvX-tEVSrzUPBhii2c*jezWxjvIQjcVL5tAWhE4qbblUawRDvc8/mtanijembe.jpg?width=650)
10 years ago
Habarileo12 Aug
Yanga, Azam viwanjani leo
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Yanga na wale wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Azam FC leo wanashuka dimbani kwenye viwanja viwili tofauti kujipima katika michezo ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Yanga yaua, Azam leo
9 years ago
Habarileo03 Jan
Yanga, Azam zina kazi leo
VINARA wa Ligi Kuu bara Azam, Yanga na Mtibwa Sugar leo wapo Zanzibar kwenye uwanja wa Amani katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Pazia la michuano hiyo ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi linafunguliwa leo ambapo macho na masikio ya mashabiki wa soka kwa Bara na Zanzibar yote yapo kwenye michuano hiyo baada ya ligi zote kusimama kwa muda.