AZAM YACHOMOA, YATOKA SARE NA YANGA LEO NESHNO
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Didier Kavumbagu (wa pili kulia), wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara ilipopambana na Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
Heka heka: Golikipa wa timu ya Azam FC, Aishi Salum akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mfungaji wa bao la Yanga, Didier Kavumbagu akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Azam FC.
Beki wa Azam FC, Gadiel Michael akimiliki mpira (kushoto)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
CECAFA:Azam yatoka sare na Atlabara
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Yanga yatoka sare,Simba yapeta
9 years ago
GPL![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Maguli-1.jpg)
STARS YATOKA SARE YA BAO 2-2 NA ALGERIA LEO TAIFA
10 years ago
Michuzi01 Nov
SIMBA YAZIDI KUELEMEWA NA DROO, YATOKA SARE NA MTIBWA 1-1 LEO...
![](https://3.bp.blogspot.com/-6Yo3vwX6h1Q/VFUZKdL7JKI/AAAAAAAAv2M/LKnQX78DPHU/s1600/Simba%2C%2BMtibwa.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HgqWNXzbnNA/VZgpFgQ1z6I/AAAAAAAHm5s/qMoq0ZOoC2g/s72-c/Kikosi-cha-Taifa-Stars1.jpg)
TAIFA STARS YATOKA SARE YA 1-1 NA UGANDA CRANES JIJINI KAMPALA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-HgqWNXzbnNA/VZgpFgQ1z6I/AAAAAAAHm5s/qMoq0ZOoC2g/s640/Kikosi-cha-Taifa-Stars1.jpg)
11 years ago
MichuziSIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO
9 years ago
Habarileo13 Dec
Yanga, Simba, Azam zaambulia sare
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Azam jana walilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Simba katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Azam,Yanga sare Mapinduzi Cup.
10 years ago
BBCSwahili29 Dec
Azam ,Yanga na Mtibwa wakubali sare