TAIFA STARS YATOKA SARE YA 1-1 NA UGANDA CRANES JIJINI KAMPALA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-HgqWNXzbnNA/VZgpFgQ1z6I/AAAAAAAHm5s/qMoq0ZOoC2g/s72-c/Kikosi-cha-Taifa-Stars1.jpg)
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imetoka sare ya bao 1- 1 dhidi ya wenyeji Uganda (The Cranes) katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za CHAN mwaka 2017 nchini Rwanda uliofanyika uwanja wa Nakivubo.Stars ambayo leo imeonekana kubadilika katika mchezo wa leo, ilicheza soka la kuvutia tangu mwanzo mpaka mwisho wa mchezo hali iliyowaduwaza wenyeji Uganda.Mpaka dakika 45 za mchezo za kipindi cha kwanza zinamalizika, Uganda 0 - 0 Tanzania. Kipindi cha pili kilianza kwa Stars kufanya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Maguli-1.jpg)
STARS YATOKA SARE YA BAO 2-2 NA ALGERIA LEO TAIFA
11 years ago
MichuziTAIFA STARS YATOKA SARE NA MSUMBIJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Rl2Xj7ubZAA/U8vri_U6qXI/AAAAAAABDu8/65qx-1LG4x8/s1600/3m.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0XFYoLx4xfs/U8vugvbIsLI/AAAAAAABDv8/iR391BVN1Js/s1600/10s.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-jA7rw-iVOVs/U8vrm2CVgtI/AAAAAAABDvg/6uuy3d0iZJQ/s1600/s7.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FAalECGdHVM/U8vq4l7BjrI/AAAAAAABDuo/yLpiy2LR4O8/s1600/Pix-3.jpg)
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior katika mchezo...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/_2K4mum7YfI/default.jpg)
10 years ago
GPLSIMBA YATOKA SARE NA COASTAL UNION TAIFA
10 years ago
BBCSwahili07 May
The Cranes kuinyatia Taifa Stars CHAN
11 years ago
MichuziAZAM YACHOMOA, YATOKA SARE NA YANGA LEO NESHNO
10 years ago
Michuzi01 Nov
SIMBA YAZIDI KUELEMEWA NA DROO, YATOKA SARE NA MTIBWA 1-1 LEO...
![](https://3.bp.blogspot.com/-6Yo3vwX6h1Q/VFUZKdL7JKI/AAAAAAAAv2M/LKnQX78DPHU/s1600/Simba%2C%2BMtibwa.jpg)
11 years ago
MichuziSIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uuReDbJrg0s/VZgewh7j5II/AAAAAAABkOQ/Nldp6fS8gYU/s72-c/Kikosi%2Bcha%2BStars%2Bkilichoanza%2Bleo%2Bdhidi%2Bya%2BUganda.jpg)
STARS NA UGANDA ZATOKA SARE 1-1 NAKIVUBO
![](http://2.bp.blogspot.com/-uuReDbJrg0s/VZgewh7j5II/AAAAAAABkOQ/Nldp6fS8gYU/s640/Kikosi%2Bcha%2BStars%2Bkilichoanza%2Bleo%2Bdhidi%2Bya%2BUganda.jpg)
Na Baraka Kizuguto, KAMPALATANZANIA imetupwa nje ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya sare ya 1-1 jioni ya leo Uwanja wa Nakivubo, Kampala, Uganda.Matokeo hayo yanamaanisha, Stars imetolewa kwa kipigo cha jumla cha mabao 4-1, baada ya awali kufungwa 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Raundi hiyo ya kwanza visiwani Zanzibar wiki mbili zilizopita.Dakika 45 za kwanza zilimalizika kukiwa hakuna timu iliyopata bao na kipindi cha pili na kipindi cha pili, John Bocco ‘Adebayor’...