Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


The Cranes kuinyatia Taifa Stars CHAN

The Cranes itatumia mwaliko wa Rwanda kujiandaa na mechi ya wachezaji wa ndani dhidi ya Tanzania

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOKA SARE YA 1-1 NA UGANDA CRANES JIJINI KAMPALA LEO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)  imetoka sare ya bao 1- 1 dhidi ya wenyeji Uganda (The Cranes) katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za CHAN mwaka 2017 nchini Rwanda uliofanyika uwanja wa Nakivubo.Stars ambayo leo imeonekana kubadilika katika mchezo wa leo, ilicheza soka la kuvutia tangu mwanzo mpaka mwisho wa mchezo hali iliyowaduwaza wenyeji Uganda.Mpaka dakika 45 za mchezo za kipindi cha kwanza zinamalizika, Uganda 0 - 0 Tanzania. Kipindi cha pili kilianza kwa Stars kufanya...

 

10 years ago

Vijimambo

STARS KUWAVAA THE CRANES

Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager leo majira ya saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki itashuka dimba la Nakivubo kucheza na wenyeji Uganda 'The Cranes'.
Mecho hiyo ya kesho ni mchez wa marudiano kuwania kufuzu kwa fainali za CHAN mwaka 2016 zitakazofanyika mapema mwezi Januari nchini Rwanda, mgeni rasmi atakua Rais wa Uganda Yoweri Mseveni.
Kikosi cha Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa, kiliwasili jijini Kampala jana usiku na kimefikia...

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAWAFUATA THE CRANES

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inaondoka nchini leo jioni kuelekea Kampala - Uganda kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano dhidi ya The Cranes siku ya jumamosi.
Kikosi cha Taifa Stars kinaondoka kikiwa na wachezaji 20, bechi la ufundi 7, pamoja na viongozi kwa shirika la ndege la Rwanda (Rwada Airi) ambapo wanatarajiwa kuwasili uwanja wa Entebe majira ya saa 3 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na Kati.
Mchezo wa jumamosi ni wa...

 

11 years ago

TheCitizen

Stars line up Cranes warm-up

The national soccer team, Taifa Stars, will take on The Cranes of Uganda early next month ahead of their 2015 Africa Cup of Nations qualifier against Mozambique’s Mambas.

 

9 years ago

TheCitizen

Stars eye Rwanda fall as Z'bar face cranes hurdle

The Mainland soccer team, Kilimanjaro Stars, face their first tough test when they square up against Rwanda in a group A match of the 2015 Cefaca Challenge Cup in Awassa, Ethiopia today.

 

10 years ago

BBCSwahili

Cosafa itaijenga Stars kwa CHAN, AFCON

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania , Mart Nooij amesema michuano kombe la COSAFA itakayofanyika nchini Afrika Kusini Mei 17.

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani