STARS YAWAFUATA THE CRANES
![](http://3.bp.blogspot.com/-pvfPk8EX4_Q/VZU7t_ahhgI/AAAAAAAHmbE/SASKXFySLrQ/s72-c/Kocha%2Bmkuu%2Bwa%2BTaifa%2BStars%252C%2BCharles%2BMkwasa%2B%2528katikati%2529%2Bakiongea%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari%2Bleo.jpg)
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inaondoka nchini leo jioni kuelekea Kampala - Uganda kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano dhidi ya The Cranes siku ya jumamosi.
Kikosi cha Taifa Stars kinaondoka kikiwa na wachezaji 20, bechi la ufundi 7, pamoja na viongozi kwa shirika la ndege la Rwanda (Rwada Airi) ambapo wanatarajiwa kuwasili uwanja wa Entebe majira ya saa 3 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na Kati.
Mchezo wa jumamosi ni wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Ydj2omo1uQI/VZe1_OUUwZI/AAAAAAABcqg/yvMjuhIWcxs/s72-c/thumb_IMG_2870_1024.jpg)
STARS KUWAVAA THE CRANES
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ydj2omo1uQI/VZe1_OUUwZI/AAAAAAABcqg/yvMjuhIWcxs/s640/thumb_IMG_2870_1024.jpg)
Mecho hiyo ya kesho ni mchez wa marudiano kuwania kufuzu kwa fainali za CHAN mwaka 2016 zitakazofanyika mapema mwezi Januari nchini Rwanda, mgeni rasmi atakua Rais wa Uganda Yoweri Mseveni.
Kikosi cha Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa, kiliwasili jijini Kampala jana usiku na kimefikia...
11 years ago
TheCitizen15 Jun
Stars line up Cranes warm-up
10 years ago
BBCSwahili07 May
The Cranes kuinyatia Taifa Stars CHAN
9 years ago
TheCitizen24 Nov
Stars eye Rwanda fall as Z'bar face cranes hurdle
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HgqWNXzbnNA/VZgpFgQ1z6I/AAAAAAAHm5s/qMoq0ZOoC2g/s72-c/Kikosi-cha-Taifa-Stars1.jpg)
TAIFA STARS YATOKA SARE YA 1-1 NA UGANDA CRANES JIJINI KAMPALA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-HgqWNXzbnNA/VZgpFgQ1z6I/AAAAAAAHm5s/qMoq0ZOoC2g/s640/Kikosi-cha-Taifa-Stars1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/_2K4mum7YfI/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Tanzanite yawafuata Basetsana
MSAFARA wa wachezaji na viongozi wa timu ya taifa ya wanawake chini miaka 20 ‘The Tanzanite’ unatarajiwa kuondoka nchini leo kwa ndege ya Fast Jet kwenda Afrika Kusini kwa mechi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhm6v4MU7Rhe92w8-6T5zVU-eDUxa4hE7ldIi2pk8jdOOJ8CowoHV*8E49IBsvt6*RYDFoeIB*8z-sarpZDn0nJt/YANGA2015.jpg?width=600)
YANGA YAWAFUATA MTIBWA MOROGORO
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Yanga yawafuata Al Ahly kwa 12-2
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, jana wameishikisha adabu Komorozine de Domoni, baada ya kuichapa mabao 5-2 kwenye dimba la Sheikh Said Mohammed International jijini...