Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAWAFUATA MTIBWA MOROGORO

Kikosi cha timu ya Yanga. Msafara wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo asubuhi umeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mjini Morogoro tayari kwa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar siku ya jumamosi, mechi itakayopigwa kwenye dimba la Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Young Africans inayonolewa na makocha Hans Van der Pluijm kutoka Uholanzi, Charles Mkwasa na Juma Pondamali wazawa jana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

VPL: MTIBWA VS YANGA, UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

Kikosi cha timu ya Yanga kinachomenyana na Mtibwa sugar, Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kikosi cha timu ya Mtibwa Sugar. Donald Ngoma wa Yanga akichuana na mabeki wa Mtibwa.…

 

9 years ago

Vijimambo

KUTOKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO HII NDIYO YANGA 2 MTIBWA 0


Baada ya kuvunja uteja kwa watani wao wa jadi Simba Taifa sasa waendeleza kuvunja uteja ndani ya uwanja wa jamhuri wakiwazamisha walima miwa wa mashamba ya mtibwa kwa bao 2 bila majibu. Mtibwa wapisha njia wenyewe kwa kulala na kipigo sawa na walichopewa Simba jumamosi iliyopita.Yanga sasa mambo mbele kwa mbele wazidi kuwa watamu uwanjani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yawafuata Al Ahly kwa 12-2

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga, jana wameishikisha adabu Komorozine de Domoni, baada ya kuichapa mabao 5-2 kwenye dimba la Sheikh Said Mohammed International jijini...

 

11 years ago

GPL

MTIBWA SUGAR, SIMBA KUUMANA MOROGORO

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaingia raundi ya 16 kesho (Februari 5 mwaka huu) kwa mechi tano huku Mtibwa Sugar ikiikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kiingilio katika mechi hiyo ambayo itakuwa ya kwanza kuchezwa kwenye uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 10,000 tangu uanze mzunguko wa pili wa VPL kitakuwa sh. 5,000. Jonisia Rukyaa kutoka Bukoba ndiye atakayechezesha...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yaenda Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar kesho

>Simba imeondoka jana Dar es Salaam kuelekea mjini Morogoro tayari kwa pambano lake la Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA YAVUTWA SHATI NA MTIBWA SUGAR,YATOKA SARE YA BAO 1-1 MJINI MOROGORO LEO

Kikosi cha Timu ya Soka ya Simba   Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa  Waamuzi wa Mchezo wa Leo wakiwa na Manaodha wa Timu Zote Mbili.  Wachezaji wa Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Wkishanilia Goli Lililofungwa na Musa Mgosi  Katika Dakika ya 18 ya Mchezo.  Rashid Baba Ubaya Akitafuta Mbinu za Kumtoka Beki wa Mtibwa Sugar Said Mkopi.  Kipa wa Mtibwa Hasani  Sharifu    Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo huo wakishangilia muda wote wa Mchezo  Golikipa wa Timu ya Mtibwa Sugar Hussein...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani