Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJIA KUMI KUSAIDIA KUPUNGUZA UNENE-3

Tunaendelea kufafanua njia za kupunguza unene: Kama usipotafuna chakula vizuri au ukila huku unakunywa sana maji au vinywaji vingine, chakula hakimeng’enywi vizuri tumboni. ULAJI WA VYAKULA VYA MAFUTA
Mafuta ni suala muhimu sana mwilini. Ila ulaji wake sharti uwe wa mpangilio. Yaani unaowiana. Lazima mtu uwe na wastani mzuri wa vyakula vya nguvu, yaani wanga kama vile ugali, ndizi, wali, viazi mbalimbali, mikate,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

NJIA KUMI KUSAIDIA KUPUNGUZA UNENE-2

Tunaendelea kufafanua njia za kupunguza unene uliopitiliza.
Mseto wa vyakula pia ni muhimu kwa kupunguza unene.
Kwa mfano vyakula vyenye uchachu (acid) na vile vinavyomumunyuka haraka (alkaline) havitakiwi viliwe pamoja. Mfano ni matunda. Matunda machachu kama machungwa, mananasi na maembe yanatakiwa yawe pamoja; na yale laini zaidi: Ndizi mbivu, matikitimaji, mapapai, matufaha, nk. yaende kivyake, maana yana mfumo tofauti wa...

 

11 years ago

GPL

JINSI YA KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA

UNENE wa kupindukia ni ugonjwa na wasomaji wengi wametaka tuwasaidie kuwaeleza njia ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo. Kuna njia nyingi sana ambazo hutumiwa na watu ili kupunguza mwili na tumbo, lakini baadhi huwa ngumu sana au zinakuwa haziendani na mazingira wanayoishi, hivyo watu wengi hushindwa njiani. Zipo njia za kutumia madawa au kahawa, chai ya kupunguza uzito na vinginevyo ambazo huwa si za kudumu na hata baadhi ya...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA-2

Tulieleza jinsi watu wenye vitambi au wanene wanavyopata shida na maradhi mbalimbali na wiki iliyopita tulieleza jinsi ya kupunguza unene, leo tunaendelea kuelekeza. Anza kukimbia kwa kasi ndogo halafu ongeza kasi. Au unaweza kukimbia kwa kasi ya juu dakika 5 na kisha kupunguza hadi 3. Hii inaitwa interval training, yenye lengo la kukupa uwezo wa kufikisha dakika 30, kuchoma mafuta mwilini na kupunguza mapigo ya moyo ili yarudi...

 

11 years ago

Michuzi

reminder ya programu ya kupunguza unene

Unajua kwamba unene wa kupindukia (overweight) unakuweka katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa mengi yakiwemo ya moyo,kisukari  presha n.k. ?  Kukabiliana na tatizo la unene ni chaguo lako na sisi tutakusaidia kutimiza lengo lako kupungua kilo unazotaka kwa kutumia programu yetu (Natural and healthy program) . Inakufikia popote ulipo. CLEAN 9. Ni muhimu katika kupunguza mwili kwasababu inafanya kazi ya kusafisha mwili,kuondoa sumu mwilini,kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa...

 

11 years ago

GPL

KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA KWA UPASUAJI

Na Dk Mandai A. Simu 0717961795, 0754391743 WIKI iliyopita nilieleza kuhusu kalori mwilini isivyotakiwa kuzidi.
Suala muhimu  la kujadili leo ili kupunguza unene wa kupindukia au obesity tulishajadili hasa kuhusu kufanya mazoezi kila siku kwa dakika 30 na tukashauri kuwa wale wenye uzito kupita kiasi wanapaswa kushauriwa na madaktari kabla ya kuanza mazoezi. Leo tuangazie njia nyingine ya kupunguza unene tukianza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Dawa za kupunguza unene, uzito zaweza kusababisha kifo ghafla

Je, wewe ni mnene na ungependa kupunguza uzito? Je, wewe ni mwanamke au msichana unayependa kuwa na umbo la kuvutia la namba nane? Kama jibu lako ni ndiyo kwa mojawapo ya maswali hayo hapo juu, inakupasa kuchukua tahadhari.

 

10 years ago

Habarileo

Amref kusaidia kupunguza vifo vya wajawazito

SHIRIKA la Amref Health Africa Tanzania limepanga kuwapatia mafunzo wakunga 3,800 nchini ifikapo mwaka 2015/2016.

 

11 years ago

GPL

NJIA YA KUPUNGUZA MAUMIVU WAKATI WA KUJIFUNGUA-2

MTAALAMU Joanne Lally kutoka Chuo Kikuu cha Afya ya Jamii cha Newcastle na timu yake waliweza kubainisha mambo mengi ya msingi kuhusu uzazi salama, lakini kubwa kabisa ni faida za kumfariji mzazi mtarajiwa kabla ya wakati wa kujifungua. Kasoro kubwa ya wakunga na walezi wengi wanaohudumia wajawazito ni kuwavunja moyo na kutowajali, jambo ambalo huchangia matatizo wakati wa uzazi. Nakumbuka nilimuuliza dada Husna (si jina lake...

 

10 years ago

Mwananchi

Japan yatoa Sh27 bilioni kusaidia kupunguza foleni Dar

Serikali ya Japan imetoa kiasi cha Sh27 bn kwa Tanzania ili kufanikisha ujenzi wa barabara za juu (Fly-Over) katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani