Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJIA RAHISI ZA KUKUTENGENEZEA UTAJIRI

Warren Buffett. Akiwa na mali yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 62, Warren Buffett ndiye binadamu tajiri kuliko wote duniani. Mwaka 1962 wakati akianza kununua hisa katika kampuni ya Berkshire Hathaway, hisa moja ilikuwa na thamani ya Dola 7.50. Leo, Warren Buffett, akiwa na umri wa miaka 78, ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo na hisa moja hivi sasa ina thamani ya dola 119,000.
Zifuatazo ni baadhi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA UTAJIRI- 2

Warren Buffett. WIKI iliyopita tuliangalia kanuni tano zilizomfanya tajiri namba moja duniani, Warren Buffett kufanikiwa katika maisha yake, leo tunamalizia kanuni tano za mwisho ambazo kama utazifuata, unaweza kufanikiwa kirahisi katika kuyafikia mafanikio. Usiwe mtu wa mikopo mikopo
Kuishi katika mikopo hakuwezi kukufanya ukawa tajiri. Tajiri maarufu duniani Mmarekani  Warren Buffett hakuwahi kukopa, iwe kwa ajili ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

MO azindua jarida la IRIS Executive na kusema utajiri hauji “kirahisi rahisi”

DSC_0281

Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP Mh. Mohammed Dewji (Mb) ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa IRIS Executive Development Centre, Phylisiah Mcheni (kulia) na Makamu wa Rais wa MeTL GROUP, Bw. Vipul Kakad wakiwa meza kuu kwenye hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa jarida IRS Executive ambalo tolea la jipya ukurasa wa mbele limepambwa na picha ya Mh. Mohammed Dewji “MO”. (Picha na Zainul Mzige wa MOblog)

Na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasiopenda kujifunza kwa njia rahisi, watajifunza kwa njia ngumu

NIMEMSIKIA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akisema kuwa katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Msingi wa hoja yake ni kuwa katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jifunze njia rahisi ya kusaini hati

Omar Mehtab arahisisha njia ya kusaini hati ya kidijitali

 

11 years ago

GPL

NJIA RAHISI ZA KUFIKISHA HISIA KWA UMPENDAYE!

NINA furaha sana kukutana nanyi tena katika ukurasa huu ambao kila siku hutufunza mambo mapya kuhusu mapenzi. Kama kawaida, leo nina mada nzuri ambayo itakufungua.Marafiki zangu, hisia za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo.
Kila mmoja ana uhuru na haki ya kupenda. Huwezi kuchaguliwa wa kumpenda! Mapenzi ni maisha ya mtu katika uhalisia wake. Hii humaanisha kuwa kama utakuwa na mtu ambaye moyo wako hauna mapendo ya dhati...

 

11 years ago

GPL

NJIA RAHISI ZA KUFIKISHA HISIA KWA UMPENDAYE!-2

NI wakati mwingine mzuri kwa ajili yako msomaji mpendwa kujifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano. Naamini unapata unachotarajia. Leo tunaendelea na somo letu lililoanza wiki iliyopita. Ukweli uko wazi kuwa inapotokea mwanamke akampenda mwanaume huwa kuna ugumu wa kufikisha hisia zake. Ni suala la mfumo na tamaduni zetu. Haikubaliki. Lakini katika nyakati hizi za digitali, mambo yamebadilika. Mwanamke anapohisi kumpenda...

 

9 years ago

Mwananchi

Njia za kupata utajiri kijasiriamali

Watu wengi huwa wanatamani kutajirika lakini ukichunguza ni wachache wanaofikia ndoto hizo. Leo nataka tujiulize ni kwa nini wengi wanashindwa kufikia lengo hilo?

 

10 years ago

Mwananchi

Njia rahisi ya kutumia taka za mazao ili kuzalisha uyoga

Watanzania wanaweza kujiongezea kipato kwa kujiingiza katika kilimo cha uyoga, ambacho hakihitaji teknolojia ya juu ili kukifanikisha.

 

10 years ago

Michuzi

NHBRA WAGUNDUA NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA VIGAE VYA KUPAULIA NYUMBA

   Meneja  wa Utafiti na Maendeleo wa NHBRA Injinia Elias Kwemana akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari MAELEZO Ajijini Dar es Salaam leo kushoto ni kaimu afisa Habari wa NHBRA Frimin Lyakurwa kulia ni  Afisa masoko  wa NHBRA Zubeda Salum.  Meneja  wa Utafiti na Maendeleo wa NHBRA Injinia Elias Kwemana akionyesha aina  ya kwanza ya kigae  cha kupaulia nyumba,kushoto ni kaimu afisa Habari wa NHBRA Frimin Lyakurwa kulia ni  Afisa masoko  wa NHBRA Zubeda Salum. Meneja  wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani