Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Njia za kupata utajiri kijasiriamali

Watu wengi huwa wanatamani kutajirika lakini ukichunguza ni wachache wanaofikia ndoto hizo. Leo nataka tujiulize ni kwa nini wengi wanashindwa kufikia lengo hilo?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA UTAJIRI- 2

Warren Buffett. WIKI iliyopita tuliangalia kanuni tano zilizomfanya tajiri namba moja duniani, Warren Buffett kufanikiwa katika maisha yake, leo tunamalizia kanuni tano za mwisho ambazo kama utazifuata, unaweza kufanikiwa kirahisi katika kuyafikia mafanikio. Usiwe mtu wa mikopo mikopo
Kuishi katika mikopo hakuwezi kukufanya ukawa tajiri. Tajiri maarufu duniani Mmarekani  Warren Buffett hakuwahi kukopa, iwe kwa ajili ya...

 

11 years ago

GPL

NJIA RAHISI ZA KUKUTENGENEZEA UTAJIRI

Warren Buffett. Akiwa na mali yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 62, Warren Buffett ndiye binadamu tajiri kuliko wote duniani. Mwaka 1962 wakati akianza kununua hisa katika kampuni ya Berkshire Hathaway, hisa moja ilikuwa na thamani ya Dola 7.50. Leo, Warren Buffett, akiwa na umri wa miaka 78, ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo na hisa moja hivi sasa ina thamani ya dola 119,000.
Zifuatazo ni baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Njia za kupata mitaji kwa wafanyabiashara wadogo

Wajasiriamali wadogo wamekuwa katika changamoto kubwa ya kupata mitaji kwa ajili ya kuendeshea biashara. Baadhi yao wamekuwa na ndoto za kumiliki kampuni kubwa za biashara kama vile Mwananchi Communications, Bakhresa Food Product, Coca Cola, Pepsi n.k, lakini kwa sababu ya kutopata fursa ya kukopa, wengi hushindwa kutimiza ndoto zao.

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-10

Wiki iliyopita niliishia kuelezea jinsi nilivyokuwa na uwezo wa kuwasiliana vizuri na mtu mmojammoja  au kikundi cha watu kwenye mikutano kwa lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza bila hofu wala kubabaika. Sasa endelea....... Watu wakaanza kuniuliza niliwezaje kufanya hivyo, hiyo ikanipa msukumo kuanzisha biashara yangu ya kwanza kabisa ya kituo cha kuwafundisha watu wazima Lugha ya Kiingereza (English courses).
Kwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-7

Tunaendelea na mada yetu ya kujadili njia za uhakika za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Tumeshajadili mbinu tatu: Kuweka akiba, kutafuta kipato cha ziada na kuuza rasilimali zako ili upate kianzio. Leo tunaendelea na njia ya nne. OMBA MSAADA KWA NDUGU, JAMAA AU MARAFIKI
Wakati mwingine, njia pekee ya kuweza kutoka maishani ni kwa kupitia mtandao wa watu wanaokuzunguka. Ndiyo maana kuna usemi maarufu katika lugha ya...

 

11 years ago

GPL

NJIA ZA UHAKIKA ZA KUPATA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA-5

UZA RASILIMALI ZAKO UPATE KIANZIO
Kuna watu wengi sana wanasema kuwa hawana mtaji leo hii wakati wamekalia utajiri majumbani mwao.
Hii inatokea kwa kuwa mjasiriamali husika hajaambiwa au yeye mwenyewe hajakaa chini na kufikiri kwa makini. Ukweli ni kwamba kazi ya kufikiria ndiyo kazi ngumu kuliko zote duniani! Mwandishi wa Hadithi ya ‘Acres of Diamond’ (Ekari za Almasi), Russell H. Conwell, ambaye alizunguka...

 

10 years ago

Michuzi

huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet

Ofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania Bw. Karim Bablia aelezea huduma mpya ya TTCL ya kupata matangazo ya Televisheni kwa njia ya internet katika banda lao kwenye maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Juni 30, 2015

 

10 years ago

Dewji Blog

TIGO waja na huduma ya kijasiriamali

4322-tigo

Tigo, kampuni yenye ubunifu zaidi wa kidijitali nchini na EduMe, inayotoa huduma ya kwanza ya kimataifa ya mambo ya elimu kupitia simu wamezindua  bidhaa ya kipekee ya ujasiriamali kwenye simu kwa wateja wa Tigo nchini Tanzania.

Shule ya Biashara inawawezesha watumiaji kujifunza ujuzi wa biashara na ujasiriamali kwa bei nafuu kabisa kupitia kwenye simu yoyote ya mkononi. Tigo Tanzania, ambayo ni sehemu ya kampuni ya kimataifa ya mawasiliano ya simu na vyombo vya habari ya Millicom, ni ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani