TIGO waja na huduma ya kijasiriamali
Tigo, kampuni yenye ubunifu zaidi wa kidijitali nchini na EduMe, inayotoa huduma ya kwanza ya kimataifa ya mambo ya elimu kupitia simu wamezindua bidhaa ya kipekee ya ujasiriamali kwenye simu kwa wateja wa Tigo nchini Tanzania.
Shule ya Biashara inawawezesha watumiaji kujifunza ujuzi wa biashara na ujasiriamali kwa bei nafuu kabisa kupitia kwenye simu yoyote ya mkononi. Tigo Tanzania, ambayo ni sehemu ya kampuni ya kimataifa ya mawasiliano ya simu na vyombo vya habari ya Millicom, ni ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.
Tigo Tanzania leo imekuwa...
11 years ago
Habarileo13 May
Tigo yaboresha huduma zake
KAMPUNI ya simu za mikononi ya Tigo Tanzania, imezindua huduma mpya ya kutuma na kupokea fedha kwa njia rahisi na ya ufanisi zaidi kwa wateja wenye simu zenye programu aina ya android na iOS, ambayo ni huduma ya kwanza ya aina hiyo Afrika Mashariki.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-B7Fa3w3egrU/XvHfkD0QGrI/AAAAAAABA1o/lKFubPp6uVQUQOJjdltG6gXGy0LswKE-QCLcBGAsYHQ/s72-c/David.jpeg)
Huduma ya Tigo Rusha yaja kivingine
![](https://1.bp.blogspot.com/-B7Fa3w3egrU/XvHfkD0QGrI/AAAAAAABA1o/lKFubPp6uVQUQOJjdltG6gXGy0LswKE-QCLcBGAsYHQ/s640/David.jpeg)
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Tigo, Airtel, Zantel zaunganisha huduma
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Vodacom, Tigo sasa kuunganisha huduma
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Huduma ya Tigo Pesa kusitishwa kwaajili ya uboreshaji
Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania itasitisha huduma zake maarufu za kutuma na kupokea fedha ya Tigo Pesa wikendi hii kwa muda wa saa 17 ili kufanya maboresho ya huduma hiyo.
Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kampuni ya simu jijini Dar es Salaam inasema kuwa kusitishwa kwa huduma ya Tigo Pesa kuanzia Jumamosi usiku hadi Jumapili mchana utakuwa mwendelezo wa zoezi la uboreshaji wa huduma za kifedha za simu kwa takribani siku saba, “ kuifanya huduma ya Tigo Pesa kuwa ya kasi, imara...
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Tigo yafikisha upatikanaji wa huduma ya 4G LTE Dodoma
Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini kutoka Tigo Bw.George Lugata akimkabidhi Bw.Danson Kaijage kushoto laini mpya ya 4G LTE katika uzinduzi wa huduma ya 4G LTE, katikati ni Territory Meneja wa Dodoma, Singida na Kondoa Bw.Innocent Anthony kutoka Tigo jijini Dodoma.
-Ni baada ya kuanza kutoa huduma...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Tigo kutoa huduma ya Facebook kwa Kiswahili
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Tigo wafungua duka huduma kwa wateja