Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB yadhamini Mkutano wa PSPF kwa Milioni 10

Afisa Mkuu wa kitengo cha biashara ya jumla wa NMB Ndugu Richard Makungwa, (Kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF - Adam Mayingu. Katikati ni Meneja Mwandamizi wa kitengo cha biashara za Kitaasisi   NMB -oela Kivaria. 

 Afisa Mkuu wa kitengo cha biashara ya jumla wa NMB Ndugu Richard Makungwa (Kulia)  pamoja Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF -  Adam Mayingu, wakiashiria ushirikiano wa taasisi mbili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA MAKAMANDA WA POLISI KWA MILIONI 75

Benki ya NMB leo imekabidhi hundi ya shilingi Milioni 75 kama udhamini wa mkutano wa mwaka wa maafisa wa Polisi nchini unaendelea mjini Dodoma katika ukumbi wa Kimataifa wa St Gasper.
Mkutano huo ambao unajumuisha makamishna, makamanda wa mikoa ya Tanzania bara na Visiwani pamoja na maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi hilo kutoka Makao makuu, umezinduliwa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Mathias Chikawe.
Akizungumza katika uzinduzi huo , Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB,Tom Borgols, alisema...

 

10 years ago

Michuzi

NMB yadhamini Mkutano wa Serikali za Mitaa kwa Shilingi Milioni 200

Benki ya NMB imedhamini mkutano mkuu wa serikali za mitaa (ALAT) utakaoanza tarehe 8 April mpaka Tarehe 11 April, 2015 katika katika hotel ya Kunduchi beach ya jijini Dar es Salaam.
NMB imetoa shilingi milioni 150 kwaajili ya kufanikisha mkutano huo na shilingi milioni 50 kwaajili ya ununuzi wa trekta litakalotolewa kama zawadi kwa meya (Mayors Award) na halmashauri iliyofanya vizuri katika Nyanja mbalimbali kama utawala bora na utengenezaji wa miradi ya kiuchumi.
Udhamini huo unaifanya NMB...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO MKUU WA MAKAMANDA WA POLISI MOSHI

BENKI ya NMB imetoa kiasi cha shilingi milioni 75, kudhamini mkutano mkuu wa siku sita wa Maafisa wa Jeshi la Polisi nchini unaoendelea katika chuo cha taaluma ya Jeshi la Moshi (MPA), Mkoani Kilimanjaro.   Mkutano huo ambao unajumuisha makamishna, makamanda wa mikoa ya Tanzania bara na Visiwani pamoja na maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi hilo kutoka Makao makuu, ulizinduliwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe.Pereira Sirima.   Akizungumza katika uzinduzi huo, Meneja wa NMB, kanda ya...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

 Benki ya NMB imedhamini mkutano mkuu wa Mwaka wa Makanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania bara ulioanza leo mkoani Mororogoro. 
Katika mkutano huo, NMB imeweka mabanda ya maonyesho yanayotoa elimu juu ya huduma mbalimbali zinazopatikana ndani ya benki ya NMB pamoja na kutoa huduma za papo kwa papo ambapo wajumbe wa mkutano huo walipata wasaa wa kufungua akaunti za chap chap pamoja na kupata huduma za NMB Wakala. 
Kwa huduma za NMB Wakala, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka ...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YADHAMINI UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMII YA WANAFUNZI WA IFM

 AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ABDUL NJAIDI AKITOA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMII, ILIYOANZISHWA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM). UZINDUZI HUO ULIDHAMINIWA NA PSPF. WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) WAKIFATILIA UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMII ULIODHAMINIWA NA PSPF. WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) WAKIFATILIA UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMII   ULIODHAMINIWA NA PSPF. BW. HASSAN...

 

10 years ago

GPL

PSPF YADHAMINI UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMII YA WANAFUNZI WA IFM

AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ABDUL NJAIDI AKITOA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WAASASI YA HIFADHI YA JAMII, ILIYOANZISHWA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM). UZINDUZI HUO ULIDHAMINIWA NA PSPF. BW. HASSAN ABDULRAHMAN, RAIS WA KWANZA WA ASASI YA HIFADHI YA JAMIIAKIZUNGUMZA WAKATI WA UZUNDUZI WA ASASI HIYO, UZINDUZI HUO ULIDHAMINIWA NA PSPF… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF yadhamini mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mkoani Morogoro uwanja wa Jamuhuri

10717864_773529996021618_1071916977_n

Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri.   Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Netball wakiwa wanajiandaa na Mchezo wao.  Afisa wa PSPF akimsajili uanachama mmoja wa wanamichezo walikuwepo katika Mashindano hayo ya SHIMIWI.  Aliyevaa Tshirt ya Blue ni Afisa Masoko wa PSS Bwana Delphin Richard akitoa maelezo kwa wanachama wa PSPF wakati Michezo hiyo ikiendelea.   Michezo ikiwa inaendelea.  Baadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MKOANI MOROGORO KATIKA UWANJA WA JAMUHURI.

Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Netball wakiwa wanajiandaa na Mchezo wao Afisa wa PSPF akimsajili uanachama mmoja wa wanamichezo walikuwepo katika Mashindano hayo ya SHIMIWIAliyevaa Tshirt ya Blue ni Afisa Masoko wa PSS Bwana Delphin Richard akitoa maelezo kwa wanachama wa PSPF wakati Michezo hiyo ikiendelea Michezo ikiwa inaendelea Baadhi ya wachezaji wakiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani