Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB yanogesha maazimisho ya siku ya wanawake Simiyu.

Wakati Mkoa wa Simiyu ukiwa mwenyeji wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Kitaifa Machi 8, 2020, Benki ya NMB imenogesha maadhimisho hayo kwa kutoa msaada wenye thamani ya sh. Milioni 26.

Msaada huo ni pesa taslimu kiasi cha sh. Milioni tano pamoja na tisheti zenye thamani ya Sh. Milioni 21, ambapo umekabidhiwa na Meneje wa Beki hiyo Kanda ya Magharibi Sospeter Magesse.

Akipokea msaada huo Katibu Tawala wa Mkoa Jumanne Sagini, aliishukuru benki hiyo kwa msaada huo walioutoa ambao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NMB YANOGESHA MAADHIMISHI YA SIKU YA WANAWAKE MKOANI SIMIYU


Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi - Sospeter Magesse (kushoto), akimkabidhi tisheti 1800 Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu - Jumanne Sagini kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.  



Wakati Mkoa wa Simiyu ukiwa mwenyeji wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Kitaifa Machi 8, 2020, Benki ya NMB imenogesha maadhimisho hayo kwa kutoa msaada wenye thamani ya sh. Milioni 26.Msaada huo ni pesa taslimu kiasi cha sh. Milioni tano pamoja na tisheti zenye thamani ya Sh. Milioni...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM FOUNDATION YANOGESHA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO LEO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni A.C.P Camillus Wambura(kushoto)akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia alipowasili ofisini kwake akiwa kama Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto leo katika viwanja vya Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Askari polisi na wanafunzi wa Shule ya Msingi Oysterbay na Mbuyuni wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI SIMIYU


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo March 08,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais ) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Maandamano kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA MKOANI SIMIYU

 Na Stella Kalinga, Simiyu RS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yatafanyika katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.

Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake Mjini Bariadi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema Maadhimisho haya yanaongozwa na kauli Mbiu "Kizazi cha Usawa kwa Maendeleo ya Tanzania ya Sasa na ya ...

 

5 years ago

CCM Blog

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIVYORINDIMA KITAIFA MBELE YA MAMA SAMIA WILAYANI BARIADI MKOANI SIMIYU, LEO

Wanawake wakiwa kwenye Bajaji iliyokuwa ikiendeshwa na mwanamke mwenzao wakati wa Maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika Kitaifa yakiongozwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika Uwanja wa Halmashauri Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo.

Wanawake wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika Kitaifa yakiongozwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika Uwanja wa Halmashauri Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo....

 

9 years ago

Michuzi

WASANII WATAKIWA KUCHAGAMKIA MAAZIMISHO YA SIKU YAO

Wasanii nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasika na kushiriki kikamilifu kwenye maazimisho ya Siku ya Msanii maarufu kama Msanii Day ambayo yanatazamiwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu wa 2015 jijini Dar es Salaam na maeneo mbalimbali nchini. 
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye programu maalum ya kujadili ushiriki wa wasanii kwenye siku hii muhimu kwao marais wa mashirikisho ya wasanii nchini walisema kwamba wakati umefika kwa wasanii wote nchini kuamka na kuwa mstari wa mbele...

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake Duniani: Ilikuwaje Machi 8 ikawa Siku ya Wanawake Duniani

Tunaangazia siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka kuanzi jinsi siku hii muhimu iliyobuniwa zaidi ya karne moja ilyopita.

 

10 years ago

GPL

SIKU YA TATU YA ZIARA YA NDG.JERRY SILAA MKOANI SIMIYU

Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Jerry Silaa imeingia siku ya 3 kwa kutembelea wilaya ya Maswa ambapo ameongea na viongozi wa CCM wa ngazi za Vijiji na Vitongoji na amehutubia mkutano wa hadhara kata ya Malampaka. Ndg. Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa Malampaka…

 

10 years ago

Michuzi

Siku ya tatu ya ziara ya Ndg Jerry Silaa mkoani Simiyu

 Ziara ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Ndg.Jerry Silaa imeingia siku ya 3 kwa kutembelea wilay ya Maswa ambapo ameongea na viongozi wa CCM wa ngazi za Vijiji na Vitongoji na amehutubia mkutano wa hadhara kata ya Malampaka.  Ndg Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa MalampakaWananchi wa Malampaka wakimsikiliza Ndg Jerry Silaa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani