Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WATAKIWA KUCHAGAMKIA MAAZIMISHO YA SIKU YAO

Wasanii nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhamasika na kushiriki kikamilifu kwenye maazimisho ya Siku ya Msanii maarufu kama Msanii Day ambayo yanatazamiwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu wa 2015 jijini Dar es Salaam na maeneo mbalimbali nchini. 
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye programu maalum ya kujadili ushiriki wa wasanii kwenye siku hii muhimu kwao marais wa mashirikisho ya wasanii nchini walisema kwamba wakati umefika kwa wasanii wote nchini kuamka na kuwa mstari wa mbele...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NMB yanogesha maazimisho ya siku ya wanawake Simiyu.

Wakati Mkoa wa Simiyu ukiwa mwenyeji wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Kitaifa Machi 8, 2020, Benki ya NMB imenogesha maadhimisho hayo kwa kutoa msaada wenye thamani ya sh. Milioni 26.

Msaada huo ni pesa taslimu kiasi cha sh. Milioni tano pamoja na tisheti zenye thamani ya Sh. Milioni 21, ambapo umekabidhiwa na Meneje wa Beki hiyo Kanda ya Magharibi Sospeter Magesse.

Akipokea msaada huo Katibu Tawala wa Mkoa Jumanne Sagini, aliishukuru benki hiyo kwa msaada huo walioutoa ambao...

 

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

10 years ago

Bongo5

Zari: Sijawatelekeza watoto wangu, ninakaa nao siku 300, baba yao siku 65

Mrs Diamond Platnumz, Zari Ttale aka The Bosslady amesema hajawatelekeza watoto wake tofauti na watu wengi wanavyomshutumu kwakuwa siku za hivi karibuni amekuwa akiongozana na mpenzi wake huyo mpya. Zari amesema katika mwaka hukaa na wanae kwa siku 300 na zingine zilizosalia hukaa kwa baba yao ambaye walishaachana. “That awkward moment when everyone thinks you […]

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuchangia maendeleo yao

Dar es Salaam.  Naibu Waziri Wanawake, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wananchi kujitolea kuchangia huduma za jamii ili kujiletea maendeleo yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kujiunga na benki yao

Walimu wilayani hapa, Mkoa wa Pwani wametakiwa kujitokeza kwa wingi na kununua hisa katika Benki ya Walimu ili kuboresha maisha yao.

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi watakiwa kufuatilia makato yao



Mkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi.
Na Mwandishi wetu, DodomaWANACHAMA wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii wametakiwa kufuatilia makato yao kwa kuwa baadhi ya waajiri wanachelewa kupeleka makato yao. Mbali na hilo, waajiri wa mmetakiwa kutowalazimisha wafanyakazi wao kujiunga na mfuko wasioupenda badala yake wapewe nafasi ya kujieleza. Kauli hiyo, ilitolewa jana na Ofisa Tehama wa Mamlaka ya Usimamizi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Watendaji watakiwa kutekeleza majukumu yao

Watendaji wa kata na vijiji wapewa onyo kali kwa kutokuhifadhi mihutasari ya vikao na kutokuweka mipango thabiti ya matumizi ya ardhi kwa wanavijiji wao hali ambayo inachangia kuwapo kwa migogoro ya muda mrefu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wastaafu watakiwa kuhakiki taarifa za mafao yao ya uzeeni

pix 1

Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele akiongea na waandishi wa Habari( Hawapo Pichani) kuhusu wastaafu kwenda kuhakiki taarifa za mafao katika Ofisi za Mfuko huo, wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.

IMG_5963

Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Walimu Manyara watakiwa kujipanga kutumia benki yao

Walimu mkoani Manyara wametakiwa kujipanga ili wapate huduma za fedha kwenye Benki ya Walimu ambayo imepata leseni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani