Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakiwa kujiunga na benki yao

Walimu wilayani hapa, Mkoa wa Pwani wametakiwa kujitokeza kwa wingi na kununua hisa katika Benki ya Walimu ili kuboresha maisha yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Walimu Manyara watakiwa kujipanga kutumia benki yao

Walimu mkoani Manyara wametakiwa kujipanga ili wapate huduma za fedha kwenye Benki ya Walimu ambayo imepata leseni.

 

9 years ago

Michuzi

MAKONDA AWAHIMIZA WASANII KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA: Awataka kutumia taaluma yao kuhamasisha wengine kujiunga

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema wakati sasa umefika kwa wasanii kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, badala ya kuendelea kuchangishana fedha za matibabu kila wanapougua.
Amesema kutokana na kupanda kwa gharama za maisha hivi sasa zikiwemo za matibabu, wasaani wana kila sababu ya kuona umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili wanapougua watibiwe kwa kutumia kadi badala ya kuhangaika kutafuta fedha taslimu.
Makonda alikuwa akizungumza wakati wa ufunguzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima watakiwa kujiunga na vikundi

Wakulima wilayani Karagwe wametakiwa kujiunga kwenye vikundi ili kunufaika na fursa mbalimbali za kilimo.

 

9 years ago

Habarileo

Diaspora watakiwa kujiunga na Westad

WATANZANIA wanaoishi nje ya nchi, wametakiwa kujiunga na huduma ya WESTAD, inayotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuchangia kiasi cha dola 300 kwa mwaka na kupata huduma za msingi kutoka mfuko huo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali watakiwa kujiunga kwenye vikundi

Wajasiriamali nchini wamehamasishwa kujiunga na vikundi vya Vicoba ili kujiletea maendeleo haraka.

 

9 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI BABATI WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA KIKOA WA NHIF

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela amewataka wajasiriamali wa wilaya hiyo kujiunga na mpango wa bima ya afya ya Kikoa ili wapate huduma za afya kwa unafuu na ubora zaidi pindi wakiugua.
Meela aliyasema hayo mjini Babati katika kongamano la kuwakutanisha wajasiriamali wa wilaya hiyo wa vicoba, Saccos, amcos, vibindo na vikundi maalum vilivyosajiliwa ili wajiunge na mpango wa bima ya afya ya Kikoa.
Alisema kuna changamoto nyingi za afya wilayani humo ila kupitia mpango...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).

 Mkuu wa Mkoa wa kigoma akiwaeleza wafanyabiashara(ambai hawapo pichani) wa Kigoma umuhimu wa kujiunga na mfuko wa bima ya afya(NHIF) Ofisa matekelezo kutoka mfuko wa bima ya afya Kigoma Evance Ndyamkama akiongea na wafanyabiashara wa Kigoma jinsi ya kujiunga na mfuko huo Makamu mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Kigima(TCCIA) Sethi Naftari akisona hotuba ya wafanyabiashara kwa Mgeni rasmi Issa Machibya na maofisa mfuko wa bima ya afya Baadhi ya wafanyabiashara wa Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AWATAKA WAKULIMA KUJIUNGA CHAMA CHA USHIRIKA KUKUZA MITAJI YAO



Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri amewataka wakulima kujiunga kwenye chama cha ushirika ili kuweza kukuza mitaji yao kwa kuitumia Benki ya Maendeleo ya Wakulima (TADB) iliyoanzishwa na serikali kwa lengo la kumwezesha mkulima.
Hayo alitasema katika uzinduzi wa shamba la mfano la upandaji wa miti lenye ukubwa wa hekali mbili uliofanywa na wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) katika kijiji cha Mikongo, Kata ya Kifanya wilayani Njombe ikiwa ni njia ya...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA TAASISI ZA FEDHA ZENYE MASHARTI NAFUU YA MIKOPO

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWANAWAKE wametakiwa kujiunga katika taasisi za fedha ambazo zinaainisha mikopo ya wajasiriamali hiyo itasaidia wanawake kujikwamua na umasikini.
Hayo ameyasema leo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa mpango Fanikisha Plus  wa wajasirimali unaondeshwa na benki ya Equity iliyofanyika leo katika ukumbi JB,Belmote jijini Dar es Salaam.
Sophia amesema wanawake umefika wakati kutumia fursa ambazo taasisi za fedha zenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani