Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YATOA VIFAA VYA HOSPITALI NA MADAWATI - NANYUMBU

Benki ya NMB kwa kuelewa uhitaji wa vifaa vya hospitali na madawati katika jamii inayoizunguka, imetoa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni tano kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Nanyumbu pamoja na madawati sabini yenye thamani ya shilingi millioni tano kwa Shule ya Msingi Likokona iliyoko Wilayani Nanyumbu, Mkoani Mtwara.
Msaada huo uliopokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Festo Kiswaga,   ni mwendelezo wa sera ya NMB ya kuchangia huduma za jamii ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NMB Yakabidhi vifaa vya hospitali chuo kikuu cha Dodoma

Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwaajili ya zahanati ya chuo kikuu cha Dodoma vyenye thamani ya Shilingi milioni 20.
Vifaa hivyo vilivyotolewa kwa Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dodoma – Prof Shaaban Mlacha ni pamoja na - Jokofu kwaajili ya benki ya Damu, Meza ya upasuaji (Operating Table), Taa maalumu za kwenye chumba cha upasuaji (Overhead Operating Lamp) vyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni 20.
Msaada huo ulipokelewa vyema na uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma...

 

9 years ago

Global Publishers

Benki ya NMB Plc Yatoa Vifaa Tiba vya Msaada Zahanati ya Kimara Dar


Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kimara, Dk. Alphoncina Mbinda (kushoto) akipokea baadhi ya mashine za kupimia mapigo ya moyo kwa mgonjwa kutoka kwa Meneja Uratibu wa NMB Plc, Thomas Kilongo. Miongoni mwa mashine zilizotolewa ni pamoja na mashine ya kupimia joto la mgonjwa, mashine 10 za kupimia ‘BP’ kwa mgonjwa, mashine 10 za kupimia mapigo ya moyo, mzani wa kupimia uzito na urefu kwa wagonjwa, vifaa vya kukusanyia taka, spika na kipaza sauti chake pamoja na mashine nyingine za kisasa kwa ajili...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI SHULE TATU ZA AWALI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) akishukuru baada ya kupokea msaada wa Mabati 216 na Mbao 333 kwa ajili ya shule tatu za awali, katika jimbo la Kikwajuni -Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Mgaharibi Zanzibar yaliyotolewa na Benki ya NMB.  Kutoka kushoto kwake ni Mbunge wa jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni, katikati ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi na kulia ni Maofisa wa...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA WA MADAWATI 570

 Mkuu wa Wilaya  ya Busega Mkoani Mwanza Bw. Paulo Mzindakaya , akimpa mkono wa shukurani Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kulia), baada ya kukabidhi  madawati 240 yenye thamani ya shilingi milioni .... yaliyotolewa na benki ya NMB ukiwa ni msaada kwa  Shule za Msingi Nyashimo na Nasa Wilayani Busega pamoja na Sukuma na Simakitongo Wilaya ya Magu ili kupunguza uhaba wa madawati katika shule hizo. Kila shule imepata madawati sitini. Mkuu wa Wilaya  ya Musoma Mkoani Mara Bw....

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi(kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Bw. Salie Mlay kwa kumkabidhi vifaa vya hosipitali vilivyotolewa na benki ya NMB kwa kwa Hospitali ya Mwananyamala .Vifaa hivi vyenye thamani ya shilingi milioni tano vilikabidhiwa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali hiyo. Akishuhudia makabidhiano haya ni Meneja wa NMB Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa. Meneja wa NMB tawi la Msasani Bi. Mary Ngallawa Pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

NMB yatoa Msaada kwa Hospitali ya Rufaa, Dodoma

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma vyenye thamani ya shilingi milioni 10 ikiwa na lengo la kusaidia uboreshaji wa huduma katika hospitali hiyo kubwa kwa mikoa ya kanda ya kati – Singida na Dodoma.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni magodoro 22 na mashuka 422 ambayo kwa maelezo ya mganga mkuu wa hospitali hiyo – Dr Ezekiel Mpuya vitasaidia sana kuweka mazingira rafiki kwa wagonjwa wanaolazwa hospitalini hapo hususani akina mama wajawazito...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYA SH. MIL 15 WILAYA YA UBUNGO

  Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam - Badru Idd (kushoto) akimkabidhi msaada wa madawati, viti na meza 150 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia) katika Shule ya Sekondari Kibamba. Vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 15 vimetolewa na NMB kuzisaidia Shule tatu za Manispaa ya Ubungo ambazo ni Kibamba, Kinzudi Sekondari pamoja na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini zote za jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia mwenye suti)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani