Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAWAPA MAFUNZO WAJASIRIMALI WILAYA YA ILALA

Benki ya NMB imeendela kuwapiga msasa wateja wake wa mtandao wa NMB Business Club Wilaya ya Ilala kwa kuwapa mafunzo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara zao, fedha za kigeni, bidhaa na huduma zitolewazo na benki ili kuwawezesha kuendelea kuwa vinara wa biashara.
Katika semina hiyo iliyowakutanisha wajasiriamali zaidi ya 300, iliwapa fursa vilevile wanachama wake kubadilishana mawazo na wenzao hasa katika ulimwengu wa biashara. Kaimu mwenyekiti wa NMB Business Club...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NMB yakabidhi vifaa kwa Wilaya ya Hai na Ilala

BENKI ya NMB imekabidhi misaada mbalimbali ya vifaa tiba na vifaa vya elimu katika Mikoa ya Dar es Salaam na Kilimanjaro, ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa kurejesha kwa jamii asilimia moja ya faida yao kupitia Programu ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR).

Jijini Dar es Salaam, NMB imetoa msaada yenye thamani ya Sh. Mil. 15 kwa Shule ya Sekondari Tambaza, iliyopo Upanga na Kituo cha Afya Pugu Kajiungeni wilayani Ilala jijini Dar es Salaam, wakati Mkoani Kilimanjaro imekabidhi vifaa tiba kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA DCB YAWAPA KIPAUMBELE WA WAJASIRIMALI KATIKA MAONESHO YA SABA SABA

Baadhi ya wateja wakiwa katika banda la wajasiriamali walionufaika na huduma za kibenki na  DCB katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Afisa Mauzo wa Benki ya DCB,Tatu Shija( katikati) akiwa na wajasiriamali walionufaika na huduma za kibenki na  DCB wakinyesha bidhaa zao  katika meonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Afisa Mauzo wa Benki ya DCB, Rashid Ngwali (amenyosha mkono) akitoa maelezo kwa wananchi...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI NA WANACHAMA WA NMB BUSINESS CLUBS JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa NMB Business Club Kanda ya Temeke Bw. Ezekiel Matimo Gutti akiongea  machache  kuhusu  NMB Business Club Wilaya  ya Temeke  tangu kuanzishwa  kwake.

 Mtoa mada kuhusu kodi kutoka kampuni ya ‘Tanscott Taxation Service Ltd’ Bw. Hirji Abdallah akielezea kuhusu ulipaji wa kodi wakati wa semina ya wajasiriamali iliyondaliwa na benki ya NMB .Semina hiyo ulihudhuriwa na wanachama zaidi ya 400 wa NMB Business Club kutoka Wilaya ya Kinondoni, Ilala na Temeke hivi karibuni jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

NMB YAWAPA SOMO WATEJA WAKE MBEYA.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wateja wa Nmb, Jeremia Mahenge akifungua mkutano wa umoja wa wateja wa NMB katika ukumbi wa RC MwanelwaMeneja Mahusiano wa NMB Makao makuu, Dickson Pangamawe, akiwapa somo wateja wakMtaalamu wa Biashara ya kimataifa wa NMB makao makuu Alatunoze Sanga akitoa somo kwa wateja wa Nmb katika mkutano huoWateja wa NMB Mkoa wa Mbeya wakiwa makini kusikiliza somokwapicha zaidi bofya soma zaidiAfisa mikopo NMB Mbalizi Road HANCESON Kyambi akieleze sasa wanatoa mikopo ya bajaji...

 

10 years ago

GPL

TFF YAWAPA MAFUNZO YA UKOCHA WALIMU 20

Makocha hao wapya wakiwa mazoezini pamoja na watoto wadogo. ILI kuibua na kukuza vipaji vya wanamichezo nchini, Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limetoa mafunzo ya ukocha kwa walimu ishirini (20) wa michezo wa…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafunzo, mikopo ya NMB kuwanufaisha wakulima

KILIMO ni muhimu katika kuchangia ukuaji wa uchumi nchini. Mchango wa sekta hii katika kuongeza kasi ya ukuaji wa pato la taifa ni mkubwa kuanzia kwenye mazao. Lakini kwa kipindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani