NMB YAWAPA SOMO WATEJA WAKE MBEYA.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wateja wa Nmb, Jeremia Mahenge akifungua mkutano wa umoja wa wateja wa NMB katika ukumbi wa RC Mwanelwa
Meneja Mahusiano wa NMB Makao makuu, Dickson Pangamawe, akiwapa somo wateja wak
Mtaalamu wa Biashara ya kimataifa wa NMB makao makuu Alatunoze Sanga akitoa somo kwa wateja wa Nmb katika mkutano huo
Wateja wa NMB Mkoa wa Mbeya wakiwa makini kusikiliza somokwapicha zaidi bofya soma zaidi
Afisa mikopo NMB Mbalizi Road HANCESON Kyambi akieleze sasa wanatoa mikopo ya bajaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bZCvfJ2TmN8/VH628tXa8pI/AAAAAAAG05Y/MfTK9OirFYs/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-sLeSXwQMiow/VR1k-yBSicI/AAAAAAAHO-s/hjj3EbW0ff8/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-04-02%2Bat%2B6.47.50%2BPM.png)
11 years ago
GPLNMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-n1rVO2KmE3Y/XsdLLX3L6EI/AAAAAAABMJo/Xpzbze7LJYUjiy4auVkX_eLKIG_d2kwWQCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
BENKI YA NMB YATANGAZA HATUA ZA KUWAPUNGUZIA MZIGO WATEJA WAKE KUTOKANA NA JANGA LA COVID 19
![](https://1.bp.blogspot.com/-n1rVO2KmE3Y/XsdLLX3L6EI/AAAAAAABMJo/Xpzbze7LJYUjiy4auVkX_eLKIG_d2kwWQCLcBGAsYHQ/s400/2.jpg)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NMB , Ruth Zaipuna
· Hatua kuchukuliwa kulingana na mahitaji ya Wateja wa Biashara Ndogondogo na za Kati· Suluhisho pia kutolewa kwa Wateja Wakubwa
Dar es Salaam, Mei 21, 2020: Benki ya NMB Plc leo imetangaza unafuu wa ulipaji mikopo kwa Wateja wa Biashara ndogo na za kati (SME/MSME) na wakubwa ili kuwasaidia kukabiliana na madhara yaliyotokana na janga la COVID - 19 kwenye biashara zao. Hii ni jitihada ya benki katika kutoa ahueni kwa wateja wake...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MC94Kwn2qog/UwHBfQwZTgI/AAAAAAAFNfs/5JXHcqTKoiU/s72-c/unnamed+(2).jpg)
NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f2WY1amni9U/U8zV237URoI/AAAAAAAF4TA/Fsqi-aiK1aA/s72-c/unnamed+(22).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Fawopa yawapa somo wanafunzi
MWENYEKITI wa Shirika lisilo la kiserikali la Faidika Wote Pamoja (Fawopa-Tanzania) la mkoani Mtwara, Saidi Nassoro, amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii, ili kuweza kufikia malengo yao waliojiwekea. Nassoro alitoa kauli...