Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fawopa yawapa somo wanafunzi

MWENYEKITI wa Shirika lisilo la kiserikali la Faidika Wote Pamoja (Fawopa-Tanzania) la mkoani Mtwara, Saidi Nassoro, amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii, ili kuweza kufikia malengo yao waliojiwekea. Nassoro alitoa kauli...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

IYF YAWAPA SOMO WANAFUNZI DAR

Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mapumziko kwenye mafundisho hayo. ... wakiwa katika pozi na mchina (katikati) wa IYF.
Hapa ni baadhi ya wananchi wakiwemo…

 

11 years ago

Habarileo

TMA yawapa somo vijana

VIJANA wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuhakikisha wanashiriki kuokoa dunia kutoka kwenye majanga yaletwayo na mabadiliko hayo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

ALAT yawapa somo madiwani

SHIRIKISHO la Serikali za Mitaa (ALAT) Mkoa wa Geita limewataka wenyeviti wa halmashauri na madiwani kushirikiana na watendaji kuhakikisha maendeleo ya mkoa huo yanasonga mbele. Mwenyekiti mpya wa ALAT Mkoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBS yawapa somo wajasiriamali

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara wakubwa nchini kuboresha bidhaa zao kwa kuzingatia viwango vya ubora unaotakiwa. Mkurugenzi wa Kudhibiti Ubora wa Viwango wa TBS, Tumaini Mtitu,...

 

10 years ago

Vijimambo

NMB YAWAPA SOMO WATEJA WAKE MBEYA.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wateja wa Nmb, Jeremia Mahenge akifungua mkutano wa umoja wa wateja wa NMB katika ukumbi wa RC MwanelwaMeneja Mahusiano wa NMB Makao makuu, Dickson Pangamawe, akiwapa somo wateja wakMtaalamu wa Biashara ya kimataifa wa NMB makao makuu Alatunoze Sanga akitoa somo kwa wateja wa Nmb katika mkutano huoWateja wa NMB Mkoa wa Mbeya wakiwa makini kusikiliza somokwapicha zaidi bofya soma zaidiAfisa mikopo NMB Mbalizi Road HANCESON Kyambi akieleze sasa wanatoa mikopo ya bajaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

EWURA CCC yawapa somo watoa huduma

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC), limewataka watoa huduma za nishati na madini kutumia maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kuleta chachu...

 

11 years ago

Michuzi

SSRA yawapa somo wananchi wa Jiji la Mwanza

 Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza,Mhandisi Warioba Sanya, akifungua semina ya Mamlaka ya Uthibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii Nchini (SSRA) inayoendeshwa kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza juu ya umuhimu wa Wananchi kujiunga na Mifuko ya Hifadhi za Jamii hapa nchini.Semina hiyo imefanyika hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza.   Sehemu ya Wajumbe wa Semina hiyo wakifatilia mambo mbali mbali.
Picha ya Pamoja baada ya Kufumguliwa na Semia...

 

10 years ago

Michuzi

TRA yawapa somo wachina kuhusu sheria za ukusanyaji kodi nchini

Mkurugenzi wa JITENG Consultant Company Bw. Andrew Huwang akiongea jumuiya ya wafanyabiashara kutoka China waishio Tanzania kuhusu ushiriki wao katika masuala ya ukusanyaji kodi na kuendelea kuongeza ushirikiano kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa Semina iliyoandaliwa na Jumuiya ya wachina waishio Tanzania na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliyolenga kuwaeleimisha kuhusu ukusanyaji na sheria mbalimbali za Kodi Nchini leo Jijini Dar es Salaam, kushoto ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wataka wanafunzi wafunzwe somo la ngono

Shule zote za serikali zikiwemo za msingi na zile za upili nchini Uingereza zitalazimika kufunza somo la ngono na uhusiano

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani