SSRA yawapa somo wananchi wa Jiji la Mwanza
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza,Mhandisi Warioba Sanya, akifungua semina ya Mamlaka ya Uthibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii Nchini (SSRA) inayoendeshwa kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza juu ya umuhimu wa Wananchi kujiunga na Mifuko ya Hifadhi za Jamii hapa nchini.Semina hiyo imefanyika hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Sehemu ya Wajumbe wa Semina hiyo wakifatilia mambo mbali mbali.
Picha ya Pamoja baada ya Kufumguliwa na Semia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo25 Mar
TMA yawapa somo vijana
VIJANA wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuhakikisha wanashiriki kuokoa dunia kutoka kwenye majanga yaletwayo na mabadiliko hayo.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
TBS yawapa somo wajasiriamali
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara wakubwa nchini kuboresha bidhaa zao kwa kuzingatia viwango vya ubora unaotakiwa. Mkurugenzi wa Kudhibiti Ubora wa Viwango wa TBS, Tumaini Mtitu,...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Fawopa yawapa somo wanafunzi
MWENYEKITI wa Shirika lisilo la kiserikali la Faidika Wote Pamoja (Fawopa-Tanzania) la mkoani Mtwara, Saidi Nassoro, amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii, ili kuweza kufikia malengo yao waliojiwekea. Nassoro alitoa kauli...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
ALAT yawapa somo madiwani
SHIRIKISHO la Serikali za Mitaa (ALAT) Mkoa wa Geita limewataka wenyeviti wa halmashauri na madiwani kushirikiana na watendaji kuhakikisha maendeleo ya mkoa huo yanasonga mbele. Mwenyekiti mpya wa ALAT Mkoa...
10 years ago
GPLIYF YAWAPA SOMO WANAFUNZI DAR
10 years ago
VijimamboNMB YAWAPA SOMO WATEJA WAKE MBEYA.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
EWURA CCC yawapa somo watoa huduma
BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC), limewataka watoa huduma za nishati na madini kutumia maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kuleta chachu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uZ1tqRQRY_c/VTEfaCqwtuI/AAAAAAAHRrE/y2thjXRrYvk/s72-c/1.jpg)
TRA yawapa somo wachina kuhusu sheria za ukusanyaji kodi nchini
![](http://3.bp.blogspot.com/-uZ1tqRQRY_c/VTEfaCqwtuI/AAAAAAAHRrE/y2thjXRrYvk/s1600/1.jpg)
10 years ago
GPLMWANAHARAKATI AVAA GUNIA NA KUTINGA OFISI ZA JIJI KUMDAI MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA AMLIPE FEDHA ZAKE