TMA yawapa somo vijana
VIJANA wametakiwa kubadilika na kuchukua hatua za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuhakikisha wanashiriki kuokoa dunia kutoka kwenye majanga yaletwayo na mabadiliko hayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Fawopa yawapa somo wanafunzi
MWENYEKITI wa Shirika lisilo la kiserikali la Faidika Wote Pamoja (Fawopa-Tanzania) la mkoani Mtwara, Saidi Nassoro, amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii, ili kuweza kufikia malengo yao waliojiwekea. Nassoro alitoa kauli...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
ALAT yawapa somo madiwani
SHIRIKISHO la Serikali za Mitaa (ALAT) Mkoa wa Geita limewataka wenyeviti wa halmashauri na madiwani kushirikiana na watendaji kuhakikisha maendeleo ya mkoa huo yanasonga mbele. Mwenyekiti mpya wa ALAT Mkoa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
TBS yawapa somo wajasiriamali
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara wakubwa nchini kuboresha bidhaa zao kwa kuzingatia viwango vya ubora unaotakiwa. Mkurugenzi wa Kudhibiti Ubora wa Viwango wa TBS, Tumaini Mtitu,...
10 years ago
GPLIYF YAWAPA SOMO WANAFUNZI DAR
11 years ago
MichuziSSRA yawapa somo wananchi wa Jiji la Mwanza
11 years ago
VijimamboNMB YAWAPA SOMO WATEJA WAKE MBEYA.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
EWURA CCC yawapa somo watoa huduma
BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC), limewataka watoa huduma za nishati na madini kutumia maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kuleta chachu...
10 years ago
Michuzi
TRA yawapa somo wachina kuhusu sheria za ukusanyaji kodi nchini

10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Vijana wilayani Kasulu wapewa somo kuhusu fursa za Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Dani Makanga akizungumza na wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waliofika ofsini kwake kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kuendelea na ratiba yao ya mafunzo kwa Vijana wa Halmashauri za Kasulu na Bihigwe leo mjini Kasulu. Katikati ni Mkuu wa msafara huo ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa na wa kwanza kushoto ni Afisa Vijana wa wizara hiyo Bi. Amina...